bhaaassss......hii mada siyo ya msingi kama aliyeileta ana mtazamo wa kiushindani zaidi, ila kama lengo ni kuelimishana hapo naweza toa mtazamo wangu..tatizo ni watu kushindwa kutofautisha malengo ya mafunzo husika/kozi,kwani huwezi kucompare mtu wa udsm or dit.mfumo wa elimu ktk chuo cha udsm unamuandaa engineer ambaye ni good designer,researcher and problems solver wakati engineer wa dit ameandaliwa kuwa implimenter of designs.watu wote hawa ni muhimu and huwezi anza kutafuta nan zaidi ya mwenzake kwani kila mtu ni mzuri ktk nyanja aliyoandaliwa.
Kwa baadhi ya nchi za wenzetu unakuta chuo kimoja kinatoa the same course but kwa malengo tofauti..kwa mfano katika nchi ya algeria(university of science and technology h.boumediene) kozi ya civil engineering inatolewa kwa system mbili tofauti,licence en génie civil academique( bachelor of sc. Academic in civil eng)hii inamuaanda engineer amabaye ni designer,researcher and problems solver na licence en génie civil appliqué(bachelor of applied civil eng.) hii inamuandaa engineer ambaye ni gd implementer yaani mtendaji..sasa ukisema uanze linganisha nani zaidi ktk hizo kozi mbili nitakuona wa ajabu sana....au kwa kesi kama hii how will u compare these two courses tena within the same university???
All in all uzuri wa mtu ktk field yake ni juhudi zake mwenyewe usipofanya juhudi binafsi ktk kujiendeleza na kutegemea jina la chuo utakuwa unapotea.hata hivyo ktk ajira hawaangalii jina la chuo bali personal potential.
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?
ila MAFUNDI MCHUNDO wengi lugha ya kiingereza mnapata shida sana, humjui!. kuna mdada mmoja namfahamu ni injinia kwa sasa, akikuandikia report kwa kiingereza utaomba Yesu Kristo, Maria na Yosefu washuke leo!.
mafundi mchundo wengi wa bongo hupenda sana, teno mno, kujiita mainjia, mfano mmoja mzuri ni Stella Manyanya, yule ni fundi mchundo ila anajiita injinia, hata ERB hamjulikani lakini mwajiita mainjinia.Sijuhi una maana gani unaposema fundi mchundo! Tangu lini fundi mchundo kaitwa injinia
kuandika kingereza kiufasaha hakina umuhimu wowote katka mabo ya ufundi na tekinolojia
mkuu usilinganishe TANZANIA na hizo nchi ulizozitaja, ni sawa na KICHUGUU na MLIMA!!!!, sisi kiswahili chenyewe cha kuungaunga kutoka mara kwa waarabu mara kwa wabantu mara sijui wapi. wao teknolojia na ufundi wanatumia lugha zao, hata ukienda kusoma huko lazma ujifunze lugha zao, sisi hiyo imetushinda, COMPUTER tunaita KOMPYUTA, SHIRT tunasema SHATI, itakua ngumu sana kuendelea kiteknolojia kwa kutohoa lugha za watu.labda nikuhukize swali: Ni Wachina, Warusi, Wajapan, Wajerumani wangapi wanajuwa kuzungumza/kuandika kingereza - je nchi zao zimekwazika kwa sababu ya kutomudu lugha ya KINGEREZA, wako wapi kitekinolojia na kiufundi kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!
kiongozi, kwakua tunatumia lugha za watu (kingereza), inamaana kina umuhimu sana!. ndio maana wenzetu wakenya na waganda wanakuja bongo kukamata kazi kubwa na nzuri zenye mishahara minono kwa kuongea kingereza murua tu, sisi wabongo na broken zetu tunaishia kuwa wafagiaji na watu wachini zaidi. STUKA mpwa!.,,,,, kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!
mafundi mchundo wengi wa bongo hupenda sana, teno mno, kujiita mainjia, mfano mmoja mzuri ni Stella Manyanya, yule ni fundi mchundo ila anajiita injinia, hata ERB hamjulikani lakini mwajiita mainjinia. mkuu usilinganishe TANZANIA na hizo nchi ulizozitaja, ni sawa na KICHUGUU na MLIMA!!!!, sisi kiswahili chenyewe cha kuungaunga kutoka mara kwa waarabu mara kwa wabantu mara sijui wapi. wao teknolojia na ufundi wanatumia lugha zao, hata ukienda kusoma huko lazma ujifunze lugha zao, sisi hiyo imetushinda, COMPUTER tunaita KOMPYUTA, SHIRT tunasema SHATI, itakua ngumu sana kuendelea kiteknolojia kwa kutohoa lugha za watu. kiongozi, kwakua tunatumia lugha za watu (kingereza), inamaana kina umuhimu sana!. ndio maana wenzetu wakenya na waganda wanakuja bongo kukamata kazi kubwa na nzuri zenye mishahara minono kwa kuongea kingereza murua tu, sisi wabongo na broken zetu tunaishia kuwa wafagiaji na watu wachini zaidi. STUKA mpwa!.
ila MAFUNDI MCHUNDO wengi lugha ya kiingereza mnapata shida sana, humjui!. kuna mdada mmoja namfahamu ni injinia kwa sasa, akikuandikia report kwa kiingereza utaomba Yesu Kristo, Maria na Yosefu washuke leo!.
Sijuhi una maana gani unaposema fundi mchundo! Tangu lini fundi mchundo kaitwa injinia, kuandika kingereza kiufasaha hakina umuhimu wowote katka mabo ya ufundi na tekinolojia - labda nikuhukize swali: Ni Wachina, Warusi, Wajapan, Wajerumani wangapi wanajuwa kuzungumza/kuandika kingereza - je nchi zao zimekwazika kwa sababu ya kutomudu lugha ya KINGEREZA, wako wapi kitekinolojia na kiufundi kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!
nakubaliana na wewe kwa 96% hata hapa ulipotolea mada hii ni elimu nzuri ya DIT ,najua hata Maxence Melo angesoma huko UDSM tusingekuwa na JF leo hii,wanawapa watu BASIC NZURI SANA ,
Mkimaliza hii ligi, wale msiokuwa na ajira tutafutane.
Engineers wanafanya nini hapa tz? Mpaka mseme wazuri ni wapi? Nenda tanesco shirika halina hata maktaba ya reference books unakuta kakopy kamoja ya ieee 2000 tena anayo mtu mmoja personal then unasema ni engineer.
Angalia nguzo za tanesco zimekua overloaded na nyaya kwenye nguzo moja bila kuangalia mechanical strength ya nguzo na life span..ndo tunasema yupo engineer.
Angalia losses zinzaotokea kwa kutengeneza reactors na inductors kwenye system za usafirishaji na utawanyaji wa umeme.. Then tunasema kuna maengineer wazuri cjui kutoka dit cjui udsm
angalia fuse za transformer popote njiani fuse zimeungua engineer wameweka copper wire direct bila bila kuangalia safety, wala sifa ya hiyo copper wire..alafu mnasema maengineer wazuri
rudi ewura, cheza na system ya maji utacheka maengineer...wanapelaka maji sehemu bila kuangalia ramani ya jiji/mipango miji kuhusu sehemu husika baada ya siku chache barabara zinapita na mabomba kuharibiwa zote.
Engineer anakwenda kazini, njiani anakutana na sehemu bomba limepasuka na kuna maji nyingi zinamwagika anapita na kwenda ofisini kwenye kiti na kiyoyozi wapi ile maana ya engineer kusolve problem?
Nitazidi kusema na kuamini... Elimu yetu imekaa vibaya sana, hatutakuja kuweza kusoma kozi zaidi ya kumi kwa semister moja na kufanyia mazoezi kwa vitendo kwa miezi minne then tukaweza kua wazuri kwenye kozi hizo. Tusimame kidente kurekebisha matatizo haya yaliopo vyuoni.