Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

ila MAFUNDI MCHUNDO wengi lugha ya kiingereza mnapata shida sana, humjui!. kuna mdada mmoja namfahamu ni injinia kwa sasa, akikuandikia report kwa kiingereza utaomba Yesu Kristo, Maria na Yosefu washuke leo!.
 
Hii mada siyo ya msingi kama aliyeileta ana mtazamo wa kiushindani zaidi, ila kama lengo ni kuelimishana hapo naweza toa mtazamo wangu..tatizo ni watu kushindwa kutofautisha malengo ya mafunzo husika/kozi,kwani huwezi kucompare mtu wa UDSM or DIT.Mfumo wa elimu ktk chuo cha UDSM unamuandaa Engineer ambaye ni good designer,researcher and problems solver wakati engineer wa DIT ameandaliwa kuwa implimenter of designs.watu wote hawa ni muhimu and huwezi anza kutafuta nan zaidi ya mwenzake kwani kila mtu ni mzuri ktk nyanja aliyoandaliwa.

Kwa baadhi ya nchi za wenzetu unakuta chuo kimoja kinatoa the same course but kwa malengo tofauti..kwa mfano katika nchi ya Algeria(university of science and technology H.Boumediene) kozi ya civil engineering inatolewa kwa system mbili tofauti,Licence en génie civil academique( bachelor of sc. academic in civil eng)hii inamuaanda engineer amabaye ni designer,researcher and problems solver na Licence en génie civil appliqué(bachelor of applied civil eng.) hii inamuandaa engineer ambaye ni gd implementer yaani mtendaji..sasa ukisema uanze linganisha nani zaidi ktk hizo kozi mbili nitakuona wa ajabu sana....au kwa kesi kama hii how will u compare these two courses tena within the same university???
All in all uzuri wa mtu ktk field yake ni juhudi zake mwenyewe usipofanya juhudi binafsi ktk kujiendeleza na kutegemea jina la chuo utakuwa unapotea.hata hivyo ktk ajira hawaangalii jina la chuo bali personal potential.
 
hii mada siyo ya msingi kama aliyeileta ana mtazamo wa kiushindani zaidi, ila kama lengo ni kuelimishana hapo naweza toa mtazamo wangu..tatizo ni watu kushindwa kutofautisha malengo ya mafunzo husika/kozi,kwani huwezi kucompare mtu wa udsm or dit.mfumo wa elimu ktk chuo cha udsm unamuandaa engineer ambaye ni good designer,researcher and problems solver wakati engineer wa dit ameandaliwa kuwa implimenter of designs.watu wote hawa ni muhimu and huwezi anza kutafuta nan zaidi ya mwenzake kwani kila mtu ni mzuri ktk nyanja aliyoandaliwa.

Kwa baadhi ya nchi za wenzetu unakuta chuo kimoja kinatoa the same course but kwa malengo tofauti..kwa mfano katika nchi ya algeria(university of science and technology h.boumediene) kozi ya civil engineering inatolewa kwa system mbili tofauti,licence en génie civil academique( bachelor of sc. Academic in civil eng)hii inamuaanda engineer amabaye ni designer,researcher and problems solver na licence en génie civil appliqué(bachelor of applied civil eng.) hii inamuandaa engineer ambaye ni gd implementer yaani mtendaji..sasa ukisema uanze linganisha nani zaidi ktk hizo kozi mbili nitakuona wa ajabu sana....au kwa kesi kama hii how will u compare these two courses tena within the same university???
All in all uzuri wa mtu ktk field yake ni juhudi zake mwenyewe usipofanya juhudi binafsi ktk kujiendeleza na kutegemea jina la chuo utakuwa unapotea.hata hivyo ktk ajira hawaangalii jina la chuo bali personal potential.
bhaaassss......
 
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?

Mkuu kumbuka mtu mwenye background ya theory zaidi ana uwezo mkubwa ku-grasp mambo ya practical haraka sana, kwa hiyo in a long run tofauti zao ni negligible.
 
ila MAFUNDI MCHUNDO wengi lugha ya kiingereza mnapata shida sana, humjui!. kuna mdada mmoja namfahamu ni injinia kwa sasa, akikuandikia report kwa kiingereza utaomba Yesu Kristo, Maria na Yosefu washuke leo!.

Sijuhi una maana gani unaposema fundi mchundo! Tangu lini fundi mchundo kaitwa injinia, kuandika kingereza kiufasaha hakina umuhimu wowote katka mabo ya ufundi na tekinolojia - labda nikuhukize swali: Ni Wachina, Warusi, Wajapan, Wajerumani wangapi wanajuwa kuzungumza/kuandika kingereza - je nchi zao zimekwazika kwa sababu ya kutomudu lugha ya KINGEREZA, wako wapi kitekinolojia na kiufundi kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!
 
Sijuhi una maana gani unaposema fundi mchundo! Tangu lini fundi mchundo kaitwa injinia
mafundi mchundo wengi wa bongo hupenda sana, teno mno, kujiita mainjia, mfano mmoja mzuri ni Stella Manyanya, yule ni fundi mchundo ila anajiita injinia, hata ERB hamjulikani lakini mwajiita mainjinia.
kuandika kingereza kiufasaha hakina umuhimu wowote katka mabo ya ufundi na tekinolojia
labda nikuhukize swali: Ni Wachina, Warusi, Wajapan, Wajerumani wangapi wanajuwa kuzungumza/kuandika kingereza - je nchi zao zimekwazika kwa sababu ya kutomudu lugha ya KINGEREZA, wako wapi kitekinolojia na kiufundi kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!
mkuu usilinganishe TANZANIA na hizo nchi ulizozitaja, ni sawa na KICHUGUU na MLIMA!!!!, sisi kiswahili chenyewe cha kuungaunga kutoka mara kwa waarabu mara kwa wabantu mara sijui wapi. wao teknolojia na ufundi wanatumia lugha zao, hata ukienda kusoma huko lazma ujifunze lugha zao, sisi hiyo imetushinda, COMPUTER tunaita KOMPYUTA, SHIRT tunasema SHATI, itakua ngumu sana kuendelea kiteknolojia kwa kutohoa lugha za watu.
,,,,, kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!
kiongozi, kwakua tunatumia lugha za watu (kingereza), inamaana kina umuhimu sana!. ndio maana wenzetu wakenya na waganda wanakuja bongo kukamata kazi kubwa na nzuri zenye mishahara minono kwa kuongea kingereza murua tu, sisi wabongo na broken zetu tunaishia kuwa wafagiaji na watu wachini zaidi. STUKA mpwa!.
 
mafundi mchundo wengi wa bongo hupenda sana, teno mno, kujiita mainjia, mfano mmoja mzuri ni Stella Manyanya, yule ni fundi mchundo ila anajiita injinia, hata ERB hamjulikani lakini mwajiita mainjinia. mkuu usilinganishe TANZANIA na hizo nchi ulizozitaja, ni sawa na KICHUGUU na MLIMA!!!!, sisi kiswahili chenyewe cha kuungaunga kutoka mara kwa waarabu mara kwa wabantu mara sijui wapi. wao teknolojia na ufundi wanatumia lugha zao, hata ukienda kusoma huko lazma ujifunze lugha zao, sisi hiyo imetushinda, COMPUTER tunaita KOMPYUTA, SHIRT tunasema SHATI, itakua ngumu sana kuendelea kiteknolojia kwa kutohoa lugha za watu. kiongozi, kwakua tunatumia lugha za watu (kingereza), inamaana kina umuhimu sana!. ndio maana wenzetu wakenya na waganda wanakuja bongo kukamata kazi kubwa na nzuri zenye mishahara minono kwa kuongea kingereza murua tu, sisi wabongo na broken zetu tunaishia kuwa wafagiaji na watu wachini zaidi. STUKA mpwa!.

Mkuu nakuomba u-revisit nilicho andika, wewe una uhakika gani kwamba Stella Manyaya ajakuwa registerd kama Professional Engineer - wewe kama an individual una mamlaka gani ya kupingana na ERB, Board hii ina vigezo vyake vya kupandisha Technician mwenye Advanced Diploma kuwa full fredged Engineer; ili alifanyiki Tanzania tu hata Ulaya linafanyika baada ya muhusika kufanya mitihani inayo husika na fani yake, sasa tatizo linatoka wapi?

Kuna tatizo fulani ambalo baadhi ya watanzania tunalo sana, yaani kuna watu wanafikili wakiwa wamesoma Chuo Kikuu fulani yeye zaidi wengine walio somea kwingine si lolote si chochote - nimewahi kuona malumbano humu baadhi ya madaktari wakisema madaktari waliosoma Ulaya ya Mashariki na Uchina hawana lolote, chuo cha maana ni Chuo Kikuu cha DSM, na hili kwa bahati mbaya aliko-confined kwa madaktari tu, hata kwa mainjinia wanapata msuko suko sana - kisa kasoma Ulaya Mashariki - kasumba ya kijinga tu; nchi kama ya kwetu ambayo inashindwa kuhunda hata sindano leo hii wanadhalau Nchi za Ulaya ya Mashariki na Uchina?

Hivi ujuhi Kingereza kama kiswahili kilivyo nacho kimeazima maneno mengi kutoka lugha za: Kifaransa, Kilatini, Kigriki na Kijerumani! Narudi kusisitiza kwamba kuzungumza kingereza kwa ufasaha hakuna maana yoyote katika fani ya ufundi/Enginering, Wakenya unao wasifia humu tumesoma nao lakini sikuona kama ufasaha wao wa kuzungumza Kingereza kulikuwa kuna wasaidia sana katika masomo ya Engineering (sitaki kusema mengi hapa). Kama kuna Wakenya au Waganda wameajiliwa Tanzania itakuwa ni kwenye fani nyingine sio za kiufundi/Engineering.
 
ila MAFUNDI MCHUNDO wengi lugha ya kiingereza mnapata shida sana, humjui!. kuna mdada mmoja namfahamu ni injinia kwa sasa, akikuandikia report kwa kiingereza utaomba Yesu Kristo, Maria na Yosefu washuke leo!.

Wewe umewahi kusoma report zilizo andikwa na baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha DSM na kwingineko nchini TANZANIA!!!!!!!!!! Sio kwamba hawajuhi wanacho andika tatizo ni kujieleza, na tatizo hilo aliko more pronounced kwa group hilo tu vile vile Watanzania tulio wengi linatukumba, sasa mimi nashindwa kuelewa kwanini huko obsessed na mafundi MCHUNDO.
 
Sijuhi una maana gani unaposema fundi mchundo! Tangu lini fundi mchundo kaitwa injinia, kuandika kingereza kiufasaha hakina umuhimu wowote katka mabo ya ufundi na tekinolojia - labda nikuhukize swali: Ni Wachina, Warusi, Wajapan, Wajerumani wangapi wanajuwa kuzungumza/kuandika kingereza - je nchi zao zimekwazika kwa sababu ya kutomudu lugha ya KINGEREZA, wako wapi kitekinolojia na kiufundi kama kweli kingereza kina umuhimu wowote!

A truly great thinker.......
 
Sasa Wadau kwa mmi wa 1st year ninayeenda kupiga Bsc in Electronic science & Communication, nitegemee kupata nini from hapo UDSM? Au ndo ualimu approching after next 4 years?:wacko:
 
Kwan tunaposema wanafunz fulana ni bora kuliko wengne tunaangalia nn,
ni ubora wa ufundishaj?,
ni ubora wa kuongea kiingeleza kwa ufasaha?,
au ni ubora wa utendaj kaz kulingana na ulichokisomea?
 
Asprin, Mpande ni nouuma, umenikumbusha mbali sana, anakuambia e bwana unajifanya mjanja, utakimbia mchakamchaka tu, form six kitu gani! Dah Mpande.

Yule mzee wa electronics aliyekuwa anashinda lab usiku unamfahamu?
 
Daah its so funny,,,eti d.i.t hamna engineers ni fundi mchundo tu haya bwana mi sibishi,,kweli katiba tutaiweza kwa mfumo huu
 
Engineers wanafanya nini hapa tz? Mpaka mseme wazuri ni wapi? Nenda tanesco shirika halina hata maktaba ya reference books unakuta kakopy kamoja ya ieee 2000 tena anayo mtu mmoja personal then unasema ni engineer.

Angalia nguzo za tanesco zimekua overloaded na nyaya kwenye nguzo moja bila kuangalia mechanical strength ya nguzo na life span..ndo tunasema yupo engineer.

Angalia losses zinzaotokea kwa kutengeneza reactors na inductors kwenye system za usafirishaji na utawanyaji wa umeme.. Then tunasema kuna maengineer wazuri cjui kutoka dit cjui udsm

angalia fuse za transformer popote njiani fuse zimeungua engineer wameweka copper wire direct bila bila kuangalia safety, wala sifa ya hiyo copper wire..alafu mnasema maengineer wazuri

rudi ewura, cheza na system ya maji utacheka maengineer...wanapelaka maji sehemu bila kuangalia ramani ya jiji/mipango miji kuhusu sehemu husika baada ya siku chache barabara zinapita na mabomba kuharibiwa zote.

Engineer anakwenda kazini, njiani anakutana na sehemu bomba limepasuka na kuna maji nyingi zinamwagika anapita na kwenda ofisini kwenye kiti na kiyoyozi wapi ile maana ya engineer kusolve problem?

Nitazidi kusema na kuamini... Elimu yetu imekaa vibaya sana, hatutakuja kuweza kusoma kozi zaidi ya kumi kwa semister moja na kufanyia mazoezi kwa vitendo kwa miezi minne then tukaweza kua wazuri kwenye kozi hizo. Tusimame kidente kurekebisha matatizo haya yaliopo vyuoni.
 
Well said, na note kwa mtoa mada,kuna tofauti kati ya fundi na Engineer na Tanzania yetu haijui yupi atumike wapi...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sio practical tu bali kila kitu katika idara nzima ya taaluma DIT wako juu kuliko wahitimu wote kutoka chuo chochote cha Engineering hapa Tanzania,Big up DIT!
 
Back
Top Bottom