Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering


Anayejua anajua tu kwanini huyo brother wako wa UDSM asiwe na kiherehere ,he had no confidence kwa maana ni mmezaji na wala si mtendaji
 
ninachojua mimi Muhandisi ni Muhandisi tu,sijawai kuona mahala popote hata iwe tangazo la kazi wanasema eti wanaitaji Muhandisi wa DIT au Muhandisi wa UDSM,haya aliyoleta mleta mada ni pumba na ulimbukeni,ni upuuzi wa hali ya juu na hakuna chochote cha kumsaidia ili kutoka hapo alipo isipokua maombi tu.Pepo la ujinga toka kwa jina la yesu
 
Kweli ndio maana majengo mengi yalikuwa yanaporomoka kwa maana ENGINEERS wengi walikuwa ni wamezaji kutoka UDSM wala si watendaji

Kusema ukweli JUNK MASTER kweli ni junk na ni msomi wa kukariri kariri tu. Nina shaka sana na uwezo wako wa kuelewa mambo ya ulimwengu huu yanavyokwenda...pengine ndio wale mafundi mchundo tuliokuwa tunakutana nao kwenye field miaka ile. As long as these engineers you discredit continue to push their professional forward hata ukisema nini unapoteza muda tu. Unachongombania hapa hutakaa kukipa maana hakuna atakayekupa. Nionyeshe jina la engineer aliyeangusha ghorofa kama sio kukariri kwenye magazeti ya udaku?
Ukijisahau na kufikiria kusoma Dar tech ndio kutakupa maisha bora jiandae kuwa frustrated kwenye hii system yetu.
 
Anayejua anajua tu kwanini huyo brother wako wa UDSM asiwe na kiherehere ,he had no confidence kwa maana ni mmezaji na wala si mtendaji

wee thubutu !! Nenda pale coet uulizie jamaa anayewakimbiza kwenye mechanical engrn mwaka wa 3 ndo anaingia wa 4 jamaa yuko fit kotekote pract and theory
 

Unajua Engineers ambao hawakuandaliwa vizuri practically kama UDSM ndio watakaotuaibisha katika soko la ajira katika Jumuiya ya Afrika Mashariki so lazima tuseme ukweli hili ni janga la kitaifa maana hata kwenye interview hawajiamini maana wamekariri tu vitendo hamna bora hata St. Joseph wako juu
 

Dar Tech mko juu sana.,...ndio maana mnapata kazi kila sehemu na kuwagaragaza watu wa UDSM...teh teh teh!
 
Dar Tech mko juu sana.,...ndio maana mnapata kazi kila sehemu na kuwagaragaza watu wa UDSM...teh teh teh!

Bora umekubari kufunga thread kwa kukubari ukweli that's true, tena sio kuajiriwa tu hata kujiajiri kitu ambacho UDSM hamtaweza kufanya
 
Bora umekubari kufunga thread kwa kukubari ukweli that's true, tena sio kuajiriwa tu hata kujiajiri kitu ambacho UDSM hamtaweza kufanya

Ukweli ninao mwenyewe na roho yangu...do you think you have changed even an inch of what is in my mind? Never...kajipange upya....I have dealt with many engineers mkuu na nilichojifunza mafanikio ya mtu yako kwenye desire yake ya kujifunza, kulea professional yake na kutaka kwenda mbele zaidi na zaidi. Ushindi wa engineers hauko kwenye kupiga hizi porojo....
 

ona huyu nae! MEZAJI JINGINE.
 
wee thubutu !! Nenda pale coet uulizie jamaa anayewakimbiza kwenye mechanical engrn mwaka wa 3 ndo anaingia wa 4 jamaa yuko fit kotekote pract and theory

Dudu achana na story za kwenye kahawa inshu iko wazi huku mtaana tunawaona wahitimu wa UDSM wanavyohaha hawana jipya wameshindwa hata kujiajiri maana wanategemea kuajiriwa cause wanameza tu
 
Jaman, competence ya mtu inatokana na mtu mwenyewe wala si mahali aliposoma, mimi nimesoma shule ya kata o-level na nikapata 1 ya 15, aliyenifuata alikuwa na 3 ya 25, na wale waliosoma shule kubwa wapo waliofaulu na waliopata zero ingawa mtihani tulifanya ulele, so kuwa competent ni mtu mwenyewe na si chuo wala taasisi aliyosoma, PERIOD!!!
 

ahsante kaka, umesomeka na mtoa hoja.
 
wee thubutu !! Nenda pale coet uulizie jamaa anayewakimbiza kwenye mechanical engrn mwaka wa 3 ndo anaingia wa 4 jamaa yuko fit kotekote pract and theory

yaan watu wa kuhesab,tena usikute alipitia diploma huyo
 
Du ! Hizi discussion nimezizoea kwa watu wa biashara , kumbe na ma engineers nao wanazipenda ?
UDSM na DIT ni vyuo vyenye madhumuni tofauti , UDSM kinawajenga wanafunzi wake wawe good designers ,
wakati DIT inawajenga wanafunzi wake waweze ku operate (designs) hizo machines in more efficient way .
Generally , hakuna faida yeyote kuvilinganisha hivi vyuo ,labda kama unajidanganya UDSM /DIT itakubeba katika ajira.
 
Musa17 , futa hii thread , ma engineers hatuhitaji kujua chuo gani zaidi kati ya UDSM / DIT ,
tufikirie mambo ya maendeleo na sio kuiga ushindani wa kijinga wa fani nyingine ,
kutegemea chuo kukubeba ni dalili ya kutojiamini wewe binafsi .
FUTA HII THREAD ,TUMIA HII NGUVU KUTUUNGANISHA SOTE , TUJENGE TAIFA LETU MOJA
 
Last edited by a moderator:

ahsante kwa point nzuri.
 

Pamoja na kuwepo kwa wachangiaje wengi waliotoka nje ya maada! Lengo kuu la post hii ni kuwafungua macho vijana wanaotaraji kujiunga na vyuo mbalimbali waki specialize katika field hii ya UHANDISI. Lengo si kuweka makundi au utengano baina ya wahandisi hapa nchini. Naamini kwa aliyehitaji kujua mambo yalivyo huku vyuoni, kashajua. Ahsante kwa ushauri wako na next posts zitazingatia pendekezo lako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Musa17 , hizi inshu za majigambo na dharua zisizo na vichwa ni sisi wenyewe tunalipa kichwa ,
tatizo letu ni dogo sana ukilinganisha na wenzetu wa fani nyingine (mfano biashara) ambao wanapenda sana kudharauliana kutokana na vyuo walivyosoma , tumeshajifunza kwamba haisaidii chochote hivyo hatuna haja ya kuendeleza ushindani usio na tija kwetu .
Ningependa kukueleza tu bwana Musa ,ukimuona mtu wa UDSM Eng anapiga porojo nyingi na kejeli, kuna uwezekano mkubwa huyo mtu hajiamini na anasubiria title ya UDSM imubebe ,kitu ambacho ni kujidanganya tu.
Mimi nimesoma UDSM , najivunia kusoma chuo kikongwe tz ila kamwe siwezi kukudharau wewe kwa sababu tu umesoma DIT wakati najua wapo wengi tu wenye uwezo wao huko DIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…