JUNK MASTER
Member
- Aug 14, 2012
- 84
- 18
Sio ivyo bhana !! Ila kwa bahati nzuri brother angu amebahatika kufanya field na jamaa kutoka DIT katika kiwanda cha TBL hapa dar "Alisema Ya kwamba jamaa wa dit Wana kiherehere na mbwembwe kila kitu wanajifanya wanajua kumbe ni vilaza tu " Afu wanatabia ya kujipendekeza kwa mameneja ili waonekane wao ni bora kumbe ni uwozo mtupu !! DIT Hawana jipya
Anayejua anajua tu kwanini huyo brother wako wa UDSM asiwe na kiherehere ,he had no confidence kwa maana ni mmezaji na wala si mtendaji