Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

@Mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.
 
Sawa kabisa mkuu si unajua tena....... naitafakari signecha yako. Natamani nikusaidie kuongeza neno moja hapo.............Au Liongeze mwenyewe bana!

Patience,practice,and ceaseless importunity can a man enter the door of the temple of knowledge
.

Sijui neno la kuongeza...please tell me niongeze nini Asprin. Ila hayo maneno yapo kwenye kitabu cha James Allen kinaitwa As a man thinketh...ni cha zamani sana but the book is amazing!
 
mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.

you made my day brother! Umemaliza kila kitu. Naamini mwanafunzi wa DIT, colleges na vyuo vingine ikiwemo udsm uko comfortable kwa maelezo haya.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hii ni topic ya confused people...basi naachia hapa nilipofikia, teh teh teh

ina depend neno Confused limetumikaje? Na limetumika wapi! Kuwa Confused sio dhambi wala kosa.
Confusion ni moja ya hatua ya kuelewa jambo. Bwana Ndahani usiogopeshwe na neno ''Confused'' hapa.
 
haya tuseme ninakuonea, unastahili kuwa hapa. Sasa nimeangalia comments zako kwenye thread hii, toba,. Ni balaa na aibu.. Acha wenye uwezo wao tuchambue hoja mezani iyo.

uwezo upo wa aina nyingi na wewe unajiona unauwezo wa kusimama kwenye meza ya wanaume?sipigizan kelele na pumbaman kama wewe kwakua hujui na hujui kama hujui
 
bado nasubiri uchangie point, comment ya 5 hii unaongea vitu vya ajabu kaka.
 
Mambo yapo St.Joseph University UDSM&DIT wote vilaza tu kwenye soko la ajira

huko st joseph kumejaa waliofeli tu form six ,,, tena hata usiongee kitu mkuu... bora ukae kimya tu unaposikia udsm COET inatajwa....
 
uwezo upo wa aina nyingi na wewe unajiona unauwezo wa kusimama kwenye meza ya wanaume?sipigizan kelele na pumbaman kama wewe kwakua hujui na hujui kama hujui

point iko wapi sasa?kweli jf tumeingiliwa,sio wa ud huyu!?...
 
@Mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.

you are the kind of great thinkers we need here..............
 
Kaka hembu eleweka hiyo point yako ya mwisho unamaanisha nini?

Ninamaanisha kuwa kwa yeyote aliyesoma kwa mfano bachelor of civil engineering, au bachelor of electrical, atakuwa admitted for masters kwenye chuo cha masters in Engineering.. tu, otherwise asome postgraduate diploma inayoendana na Masters of science anayotaka kusoma, lakini mwanafunzi aliyesoma bachelor of science anakubalika vyuo vyote, yaani masters of science in engineering au masters of engineering
 
@Mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.

Kama wewe ni engineer, umeni-disappoint sana. is that the case for generalization? after all wewe kama Technician hizo ulizozitaja ndio kazi zako, unataka ufanye zipi zaidi ya hizo?
 
kwani nini maana ya field? iliindicate nin kwa huyo wa ud?kwan huyo wa DIT yuko diploma au degree?
 
Huyo wa UD alienda kufanya practical training kama engineer, lakini wa DIT kwa kuwa yeye ni Technician mambo ya kupima forward na reverse current alitakiwa awe ameshayafahamu tokea shuleni, kwani kazi yake ni kuleta measurement kwa engineer ili zifanyiwe kazi, na kwa kipindi hicho engineer alikuwa amepata theory hivyo huo ulikuwa muda wa practical. au siyo mkuu?
 
tunawaambia wao wao kazi yao ni kufunga na kufungua lakini bado hawaelewi.
 
in my whole life time i never across with such empty mind as your @mwanamabadiliko
 
lakin na huyo wa ud alipelekwa kwenye kufunga na kufungua,hii haina ishara yoyote kwenye mahitaj ya soko kwa sasa?vipi kama akiamua kujiajiri bro? hiv watu kama wakina steve jobs wangepatkanaje kwa desa kavu?
 
Back
Top Bottom