Thomas10
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 856
- 2,315
Tutakuvaa kwa jazba na wengine tutakupa [emoji2936][emoji2935]
Lakini mim nimejiuliza jambo hapa;
Je, hawa f6 wa hizo comb wanauelewa mkubwa kuliko walimu wahitimu kwenye mambo yepi?
Je, hao wahitimu wa f6 wa hizo comb wakihitimu kozi ya ualimu (kwa watakasoma ualimu) uelewa wao utapungua tena ukawa chini ya f6?
Je, hao walimu (sio wa tuition) wanaowafundisha hao f6 wanauelewa mdogo kuliko hao f6? Na km ndio, hao f6 wamepataje huo uelewa kuzid walimu wao?
Lakini nimebaki na swali la msingi, UELEWA KWENYE NINI???