Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

Tutakuvaa kwa jazba na wengine tutakupa [emoji2936][emoji2935]
Lakini mim nimejiuliza jambo hapa;

Je, hawa f6 wa hizo comb wanauelewa mkubwa kuliko walimu wahitimu kwenye mambo yepi?

Je, hao wahitimu wa f6 wa hizo comb wakihitimu kozi ya ualimu (kwa watakasoma ualimu) uelewa wao utapungua tena ukawa chini ya f6?

Je, hao walimu (sio wa tuition) wanaowafundisha hao f6 wanauelewa mdogo kuliko hao f6? Na km ndio, hao f6 wamepataje huo uelewa kuzid walimu wao?

Lakini nimebaki na swali la msingi, UELEWA KWENYE NINI???
 
Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.

Tangu ulipokosa GPA ya juu na kufeli ulivyofeli kivyako chuoni.. nimekupenda jinsi unavyozidi kufuatilia haya ya elimu.. na kuandika lolotwe lilwe.. bali tu upate amani moyoni mwako.. na kutaka mabadiliko kwa sanaa.. bali jifunze kujifunza kabla ya kuandika majanga..

Maswali.. Borwa ungeandika ki hivi. je,....?
 
Japo umeleta thread kwa ushabiki kama ambavyo huwa unafanya katika nyuzi zako

ili kuwa mwalimu competent unatakiwa uwe na skills za aina mbili
1. Subject matter skills (somo)
2. Pedagogical/andragogical skills (teaching)

Na Kiuhalisia pamoja na kusoma teaching skills, kueleweka na mwanafunzi bado ni kipaji Cha mtu husika (mwalimu)

Mwanafunzi wa form six anaweza akawa ana uwezo mkubwa wa kudeliver content ndogo anayoijua kuliko baadhi ya walimu wa degree/diploma (hili halipingiki)

Lakini bado haimfanyi yeye Bado uelewa wake ni mdogo kuliko mwalimu

Hata huyo mwanafunzi wa form six anaweza kuzidiwa kufundisha O level na mwanafunzi aliyemaliza O level

Ndio maana inawezekana mwanafunzi hamuelewi mwalimu lakini huwa anamuelewa mwanafunzi mwengine aliyefundishwa na mwalimu huyohuyo (ambaye yy hamuelewi)

Hapo hatuwezi conclude kwamba mwanafunzi anayemfundisha mwanafunzi ndio ana uelewa kuliko mwalimu
 
Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.

Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
Sijaelewa, unamaanisha kwenye mitihani wanaenda na smart phones???

Ukizungumzia assignment, sijui kama Kuna mtu ambaye alikuwa haendi kugoogle na almost assignment haiwezi kuzidi 20% katika 100%.

Point ya msingi ni kwamba, ni vigumu sana mwalimu kushindwa kufundisha vizuri darsa darasa ambalo amesoma na akasoma zaidi ya hapo

Issue kubwa ni kwamba, walimu wengi wanaenda kusomea ualimu kwa sababu tu program nyingine wamekosa

Hata ukienda chuo utakuta mtu anasoma tu ila analalamika miaka mi3 yote,

Mtu Kama huyu ambaye aliwaza toka utotoni kuwa someone Kisha amekosa hawezi motivated, mwisho wa siku akiajiriwa miaka 3 tu anaanza kufanya kazi kimazoea as long as mshahara analipwa.

Mwalimu huyo huyo ukimpeleka
Shule yenye mazingira mazuri, utamkataa

Au ufundishaji wa tuition ni lazima mwalimu ajitoe kwa sababu ni biashara hiyo, anavyojitoa ndivyo pesa inakuwa nyingi zaidi

Hata ungekuwa wewe, sidhani kama ungekubali uangaike kusoma Chand, understanding, nk wakati hata ukifundishia kitini Cha Mgote pesa unalipwa ile ile, as s result unafundisha simple tu hakuna haja ya kujitesa
 
Tangu ulipokosa GPA ya juu na kufeli ulivyofeli kivyako chuoni.. nimekupenda jinsi unavyozidi kufuatilia haya ya elimu.. na kuandika lolotwe lilwe.. bali tu upate amani moyoni mwako.. na kutaka mabadiliko kwa sanaa.. bali jifunze kujifunza kabla ya kuandika majanga..

Maswali.. Borwa ungeandika ki hivi. je,....?
Samahani sana boss sijawahi kufeli katika maisha yangu GPA yangu inaweza kuwa ni mara nne ya GPA yako. Sehemu pekee nayoweza kufeli ni biashara tu labda kwa kuogopa risk na masoko sahihi lakini sio mambo ya darasani hayo tunayochukua kwenye vitabu.
 
Kuna mizaha mingi kwa Walinu, ila to be honest tunastahili mizaa hiyo

Ni kazi ambayo kwa kweli Haina thanani, kazi nyingi, mshahara mdogo (degree 700k), hakuna overtime, kila kiongozi ni boss wako

Haya masihara na utani kutoka kwa kina Mpwayungu na wengineo iwe ni challenge, watu waendane na wakati

Ifike hatua watu wawe na transformed mind, habari za kushinda masaa 24 shule kisa unataka A nyingi za NECTA wakati mshahara hata kula hautoshi ni UPUMBAVU

Mambo ya kufundisha Hadi likizo, ni UPUUZI

Fanya kazi muda mchache uliopngwa, Kisha ondoka kabisa shuleni, kafanye mambo mengine ya kiuchumi

Weka mkakati, kufundisha iwe sehemu ya kupata pesa ukafanye mambo mengine, sio ajira ya kudumu (unless uridhike kupata 500 take home kila mwezi)

KIMSINGI UALIMU SIO KAZI, NI PROFESSION ya kupotezea muda tu
 
Samahani sana boss sijawahi kufeli katika maisha yangu GPA yako inaweza kuwa ni mara nne ya GPA yangu. Sehemu pekee nayoweza kufeli ni biashara tu labda kwa kuogopa risk na masoko sahihi lakini sio mambo ya darasani hayo tunayochukua kwenye vitabu.
Kwa maelezo hayo maana yake ukipata GPA chini ya 2
 
Aliyeandika uzi huu anahitaji kumuona Daktari wa magonjwa ya akili aliye karibu naye.

Kama ameshindwa kuelewa kuwa Hakuna somo duniani lisilofundishwa na walimu! Iweje uanzishe uzi wa kuwananga walimu? Umesoma wapi na umefundishwa na Nani? Je waalimu wako wote walisoma PCB na PCM? Unaweza kuniambia Mwl Nyerere amesoma masomo gani?
 
Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
Sasa ndugu, hizo content za hao PCB na PCM si zimetoka kwa hao hao walimu ambao walishahitimu chuo kikuu!
 
Maoni yako ni yepi juu ya hili:
Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu.

Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala ya kusoma vitabu.
Kama huna taaluma ya ualimu huwezi andika uo uzi..
 
Hapa tunazungumzia ualimu hata huyo form six graduate pia ni mwalimu. Embu jaribu kuangalia wale walimu wetu wa chemistry wakina Sir Unga, walisomea chuo wapi. Lakini hao ndio wapo deep sana kwenye chemistry, angalia Mgote.
Wale ni makanjanja😄wa elimu.

Hawana pedagogy skills.
Na sio wote waliopita kwao walifaulu.

Ifike mahali madogo wasiende kusoma tuition kwa wale jamaa hadi waoneshwe certificate ya diploma au degree ya huo ualimu otherwise wataishia kuuzia vitini vya notes watoke watupu.

Percentage ya kufaulu kwa mwanafuzi ni bidii yake tu mwalimu ni facitators tu ukiwa na kichwa chepesi utafauli ila ukiwa na kichwa kigumu ndio kama Hawa jamaa wanaowachukia walimu nyuzi zao haziishi humu ndani.

Ukutane na mwalimu alipitia Chuo na Yuko deep anawakuweka mazingira mazuri ya kuelewa SoMo kwa vitendo anakusagia mfupa unakuwa kama bigG mbona utampenda mwenyewe.

Mimi nimesoma mchiki down masomo kwa akina mbuga,hidden,mudy,mgote na wengineo nakuambiaje wale ni makanjanja wa elimu. Sio professionals sema wameitumka fursa vizuri.
 
Hao walimi walioko vyuoni na wao walikua Form six kama wew. Shida yenu nyie vijana mkishaitwa PCM mabega yanapanda mnajikuta mmemaliza. Alaf mkiingia mtaani na engendering yenu mkakosa ajira mnaanza kujisogeza kuomba kazi za kushika vumbi la chaki. Form six leavers mnajifariji sana
 
Back
Top Bottom