A
Anonymous
Guest
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma.
Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi tuliosomea Local Government Administration tupo kundi lipi?
Maana kila ajira ikitoka sisi uwa tunatengwa upi muafaka wetu?