Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani influencers wengi waliosoma wapo Twitter na linkedin kwa sababu huko kuna audience ambayo ipo serious zaidi
Lakini ukiangalia watu maarufu au influencers waliopo katika siasa au corporate world kama zitto au kelvin twissa ni wasomi wazuri sanaa
Lakini hata katika entertainment watu maarufu waliofika hata chuo wapo wengi ila hawaweki sana elimu mbele maana kipaji ndio kimewafikisha hapo mfano Mimi Mars, Nikki wa pili, Jokate, Faraja Kotta, Nancy Sumari, Mwana Fa, Zuchu, Maua Sama, deo etc
Na watu wakubwa ambao wamefikisha sanaa au kuwapush hao tunaowaona kama successful stories ni wasomi kiasi pia mfano Ruge na Seven Mosha, wote shule zipo
Kiufupi elimu haikupi mafanikio ila inarahisisha kuyapata
Na kingine wasanii wengi sana kama diamond au ali kiba kufeli kwao kunawasaidia muda wa kupambania kipaji.
Imagine mtu ni form four failure, ananda kupambana mara THT au studios kwa miaka hata mitano ndo anakuja kutoka, sasa graduate unamaliza hata na 23 or 24 ndio uanze kupambana kwenye entertainment 🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️
Itahitajika bahati kufika pakubwa, naamini hata Idris asingefika hapo alipo kama angeendelea na degree ya udaktari. Aliishia form six, akaanza kupambana
ShukraniWewe umeongea point kubwa sana
Twitter na linkedin zina maana gani kama hazileti madili ya hela.
Mitandao inayowafanya watu wajenge brand ni instagram, youtube na tik tok.
Kama unataka kupiga hela weka nguvu kuweka content kali kwenye hii mitandao
Maisha hayapo ivyo kama unavyodhani.