Wahitimu wa Vyuo mnakwama wapi? Kina Millard Ayo, MC Garab, Babu Tale, Hamissa Mobetto wanakimbiza kutawala fursa za social media

Mc garab ni mwalimu kwa taaluma. Ana diploma ya ualimu.

Hana degree ila diploma anayo. Hivyo ni msomi pia
 
Twitter na linkedin zina maana gani kama hazileti madili ya hela.

Mitandao inayowafanya watu wajenge brand ni instagram, youtube na tik tok.

Kama unataka kupiga hela weka nguvu kuweka content kali kwenye hii mitandao
 
Wewe umeongea point kubwa sana
 
Twitter na linkedin zina maana gani kama hazileti madili ya hela.

Mitandao inayowafanya watu wajenge brand ni instagram, youtube na tik tok.

Kama unataka kupiga hela weka nguvu kuweka content kali kwenye hii mitandao

Linkedin ni online CV ile mkuu..

Kwa hiyo ukitaka umaarufu na deal za kisuzy bale kule HAKUNA Ila kama unataka kupambana na fursa za corporate au NGOs au hata kutengeneza brand ya kuuza professional services. Kule ndio penyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…