Tatizo hawataki kihustle pamoja wanataka mubaba wa v8 ndio shida yao.Wanawake wangekuwa na akili wañgekubali kuolewa na hao graduates wasio na kazi ili watafute maisha pamoja, wangekubaliana hela atakayopata mwanaume kwenye kuhañgaika waweke akiba wapate mtaji maana mwanaume atakuwa hatumii hiyo hela kununua mbususu.
Wangeweka hayo malengo kwa uwazi na mke asibanie mbususu ili mumewe aweke akiba,
Sijui maana yake ila niliisikia kutoka Kwa raila odinga nikai copy.Ngori ndio nini tena
Ulichosema ni kweliTuko na safari ndefu sana kama taifa.
Ndiyo maana mataifa mengine yanafaidi sana kwa kuwatumia wahitimu wetu ambao miaka nenda rudi serikali imetumia gharama kubwa kuwasomesha.
Tunataka kila mtu apate elimu, lakini kama hakuna mazingira wezeshi na ya makusudi ili kuwafanya wanufaike na elimu waliyoipata, maarifa yale huleta tija kiduchu.
Kumbuka msomi huwa na matarajio makubwa sana anapokuwa masomoni - ametumia muda, nguvu, pesa na hata wakati mwingine kuhatarisha afya yake.
Hawa wasipopata walichosomea, hii hupelekea msongo mkubwa sana wa mawazo na matokeo yake huweza kuwa mabaya zaidi.
Niolewe nae mara ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23]Natumai hao wanuka pumbuz utawaonea huruma ili hatimaye uolewe na mmoja wao.
Sawsawa!
😁🤣 Kwani yeye ndiye aliyekuoa?Niolewe nae mara ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 yupii?😁🤣 Kwani yeye ndiye aliyekuoa?
Nakusikitikia sana mkuu "ety Elimu ni urithi wa mtoto" Yan mtoto kaji pambania usiku kucha anasoma anafanya mitihani mwenyewe alafu unasema kwamba umerithisisha 🤣🤔kwa kweli haina mantiki kabisaElimu ndio urithi wa mtoto. Sioni sababu mzazi atoe fedha kukusomesha na bado uje kutegemea mali zake alizozichuma kwa jasho na damu.
Kikubwa mzazi mpeleke mtoto wako average school na pia mfundishe kazi na biashara kidogo. Hapo atakuwa na uchaguzi, aajiriwe au ajiajiri mwenyewe. Suala la kumpa mali ni upendeleo wa kipekee tu, sio kitu cha kudai.
Sasa mtu ulishasema unakibamia, huna una ukimwi positive, 🤣nani akupendeOa kijana achana na ujinga wa kataa ndoa.
Mie sijaoa kwa sababu economically healthwise mentally sipo good
Ndoa inauhusiano gani na ajira?? Wew hushindwi kumshauri mtu akajiuzeSasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Mkuu kuolewa ni ajira?Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Acha niuze uduvi makutupora Intelligent businessmanIshu ni wanachagua kazi ya kufanya kusoma chuo haimaanishi ndio lazima utapata kazi fanya tu chochote ambacho hakivunji sheria za nchi na hakiendi kinyume na imani yako maisha yasogee
Unafanya mishe gani? Ulisoma kozi gani?Mimi ni graduate na sijapewa urithi wowote na sipitii msoto
Ni ujinga mtu kukaa Mtaani unavizia ajira uchwara za kibongo
Ndio mwanawaneMkuu kuolewa ni ajira?
Sasa kwani akijiuza sii anajiingizia kipato...nayo ni coping mechanism ujueNdoa inauhusiano gani na ajira?? Wew hushindwi kumshauri mtu akajiuze
Huyo ambaye ameshakuoa mara ya Kwanza.😂😂😂😂 yupii?
Unaenda kuuza uduvi kama mpumbavuuAcha niuze uduvi makutupora Intelligent businessman
Niko na masinia yangu matatu hapa😅buruguni sokoniUnaenda kuuza uduvi kama mpumbavuu
Kuolewa ni ajira?ni wanaume wangapi ambao wanaweza kumuaccomodate mwanamke needs zake na familia yake alikotoka ?unajua familia yake inahitaji msaada wake kiasi gani kiasi kwamba hajakata tamaa ya kuatafuta?unajua ni maumivu kiasi gani kuolewa na mwanaume asiyejielewa na kutambua mahitaji ya mwanamke unatamani utimiziwe ila mwanaume kwa makusudi au kutotaka hafanyi hivo..unajua ni maumivu kiasi gani huna ajira na unacheti kabatini maisha yanakuchapa vilivyo...Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze