Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wanawake wangekuwa na akili wañgekubali kuolewa na hao graduates wasio na kazi ili watafute maisha pamoja, wangekubaliana hela atakayopata mwanaume kwenye kuhañgaika waweke akiba wapate mtaji maana mwanaume atakuwa hatumii hiyo hela kununua mbususu.
Wangeweka hayo malengo kwa uwazi na mke asibanie mbususu ili mumewe aweke akiba,
Tatizo hawataki kihustle pamoja wanataka mubaba wa v8 ndio shida yao.
 
Tuko na safari ndefu sana kama taifa.

Ndiyo maana mataifa mengine yanafaidi sana kwa kuwatumia wahitimu wetu ambao miaka nenda rudi serikali imetumia gharama kubwa kuwasomesha.

Tunataka kila mtu apate elimu, lakini kama hakuna mazingira wezeshi na ya makusudi ili kuwafanya wanufaike na elimu waliyoipata, maarifa yale huleta tija kiduchu.

Kumbuka msomi huwa na matarajio makubwa sana anapokuwa masomoni - ametumia muda, nguvu, pesa na hata wakati mwingine kuhatarisha afya yake.

Hawa wasipopata walichosomea, hii hupelekea msongo mkubwa sana wa mawazo na matokeo yake huweza kuwa mabaya zaidi.
Ulichosema ni kweli
 
Elimu ndio urithi wa mtoto. Sioni sababu mzazi atoe fedha kukusomesha na bado uje kutegemea mali zake alizozichuma kwa jasho na damu.
Kikubwa mzazi mpeleke mtoto wako average school na pia mfundishe kazi na biashara kidogo. Hapo atakuwa na uchaguzi, aajiriwe au ajiajiri mwenyewe. Suala la kumpa mali ni upendeleo wa kipekee tu, sio kitu cha kudai.
Nakusikitikia sana mkuu "ety Elimu ni urithi wa mtoto" Yan mtoto kaji pambania usiku kucha anasoma anafanya mitihani mwenyewe alafu unasema kwamba umerithisisha 🤣🤔kwa kweli haina mantiki kabisa
 
Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.

Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Ndoa inauhusiano gani na ajira?? Wew hushindwi kumshauri mtu akajiuze
 
Eti enh tusisomeshe, tuwaandalie high income business sio? Tuanzishe family business.... Si haba tunaheshimu mawazo yako .
 
Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.

Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Kuolewa ni ajira?ni wanaume wangapi ambao wanaweza kumuaccomodate mwanamke needs zake na familia yake alikotoka ?unajua familia yake inahitaji msaada wake kiasi gani kiasi kwamba hajakata tamaa ya kuatafuta?unajua ni maumivu kiasi gani kuolewa na mwanaume asiyejielewa na kutambua mahitaji ya mwanamke unatamani utimiziwe ila mwanaume kwa makusudi au kutotaka hafanyi hivo..unajua ni maumivu kiasi gani huna ajira na unacheti kabatini maisha yanakuchapa vilivyo...
mliopata msidharau wanaojitafuta ni neema tu imewashukia kwa wakati wenu na ipo siku Mungu akiamua na wao watapata haina haja ya kejeli na masimango.
 
Back
Top Bottom