Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Inaonekana ajaolewa kama anakopa.ila ndo maisha.Sasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Sasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumiaYou do realize haiendi chuo kusaka mume, so point yako ni so irrelevant. Ishu hapa ni ajira kuwa ngumu dispite of elimu ipo
Wengi hawa wanakuwa raise, shuleni mpaka chuoni kwamba wakimaliza wataajiriwa, walimu, dkt, profan hawa waambii ukweli
Kabisa ndio maana wenzetu Wahindi wanawafundisha watoto wao ujasiriamali mapema,hawahangaiki na ajira!Ifikie wakati ajira ndio ziwe zinatafuta watu .Miaka ya 1977,Watu walikuwa wanamaliza chuo kikuu 150,Nafasi zilikuwa 2,000!Wazazi waache upuuzi wa kusema urithi wa mtoto ni elimu peke yake.
Hiyo ni excuse ya wazazi wengi. kinatumika kama kichaka cha ku hide failure zaoWazazi waache upuuzi wa kusema urithi wa mtoto ni elimu peke yake.
Duh! Kwa hiyo na mimi nikimaliza chuo nijiandae na msoto
Yes ofcoz...akiolewa atatatunzwa atapata mtaji na vitu kama hivyo.Kwa hiyo kuolewa ni sawa na ajira?
Wengi wanashindana kijinga. Mimi sio supporter wa mzee LIKUD ila huwa namuunga mkono ni bora mtu asomeshe mtoto wake Kayumba kama kipato chake sio kikubwa. Cha muhimu ni kumfuatilia mtoto kwa karibu hadi pale atakapoweza kujisimamia.Wanaweka pesa nyingi kwenye elimu ambayo haina Returns kwa mazingira yetu.
Huyo dada angepata laki tano tu akauza Chapati na Supu atapata hela ya kujikimu
You're assuming too much too recklessly - kwamba wenye shida ya ajira ni akina dada tu?angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake
🤝
Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Hamna chuo cha kwenda kusaka mume. ww unawaza kuolewa wao wanawaza elimu na future zao. Ndio maana hawalalilii mume, ajira ajira ajiraSasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
..they used to say "yule siyo type yangu😁, sasa ndyo yamekuwa ni majiko yasiyochagua kuni (non selective)Approach zao za maisha ndio hufanya wanaume waone kama huyu anafaa kuolewa au hapana.
Wakiwa chuo huwa wana behave vibaya sana, sasa wakirudi kitaa na jamaa wakipata files zao inakuwa ni HIT & RUN.
Sana mkuu sasa huyo ni mwanamke ana option ya kuolewa je kidume?Kwakweli ajira ni changamoto kupita kiasi
Amsahau saiv 50/50 kila mtu anapambania future yake.Hamna chuo cha kwenda kusaka mume. ww unawaza kuolewa wao wanawaza elimu na future zao. Ndio maana hawalalilii mume, ajira ajira ajira
Haya wacha wasubiri ajira lakini ajira nyepesi ilikuwa kutumia mbususu zaoHamna chuo cha kwenda kusaka mume. ww unawaza kuolewa wao wanawaza elimu na future zao. Ndio maana hawalalilii mume, ajira ajira ajira
ww ujaoa unakla mbususus.Sasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
Kwa nini jamani wakati ndoa tamu sii unaona aziz ki leo anaenda nesa nesa juu ya msambwanda wa mobetoVijana msioe