sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
System ya ajira portal au system yoyote haiulizi chama.Inaumiza.
Na ole wajue upo chama gani huji kupata ajira
Mitaji itatoka wapi, kusoma kwenyewe hela ya kuomba omba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
System ya ajira portal au system yoyote haiulizi chama.Inaumiza.
Na ole wajue upo chama gani huji kupata ajira
Mitaji itatoka wapi, kusoma kwenyewe hela ya kuomba omba
Ni noma mzee!Sasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Kweli kabisa kazi huna mume huna ni balaaaNi noma mzee!
Stress mara mbili hana kazi hana mume balaa zaidi akienda vibaya akageuzwa single mama hapo ndiyo habari yake imeisha,ndiyo hao tunakutana nao humu na usemi wao ”wanaume wote ni mbwa”
Sijawahi kuwa na akili kubwa na hilo nalijua toka ninasoma.Una akili ndogo sana, binti yako atakuwa na baba mjinga sana.
Wangapi Tanzania hii wana uwezo wa kuweka hiyo 500K kwa ajili ya watoto zao?so akiwa na wanne kila mwaka aweke 2mill uchumi wenyewe huu wa kupapasa leo unacho kesho huna.Kila mzazi anayesomesha ajitahidi kuweka angalau laki 5 kwa mwaka kwa ajili ya mwanae hapo baadae akisaka ajira. Hii ianze tangu akiwa chekechea.
Oya nitafutie ghetto na mie nisepeAlafu hivi inakuwaje?
Yani kijana ana maliza chuo hata akili ya kujitegemea au kupanga geto aanze kupambana hamna?
Yani mtu anamaliza chuo kisha anarudi kwa baba na mama kuvizia ugali?
.
Mbona sisi enzi zetu ukimaliza tu darasa la saba unasepa, mpaka wazazi wanakuwa hawajui umepotelea wapi!
Hiki kizazi ni cha vipi?
Kwa nini jamani wakati ndoa tamu sii unaona aziz ki leo anaenda nesa nesa juu ya msambwanda wa mobeto
Kama mwanamke wa miaka 38 anaeishi bila mume.Pole sana kwao, wanapitia nyakati ngumu
Ndoa tamu wewe acha tuuNdoa tamu au arusi tamu? Acha kupotosha vijana wa kiume
Uko standard ngapi mwaka huu.Duh! Kwa hiyo na mimi nikimaliza chuo nijiandae na msoto
Mwaka wa kwanzaUko standard ngapi mwaka huu.
Hiyo ya biashara kufundshwa kama hisabat/GS imeanza mwaka jana.Watu wasome Ufundi sio kila mtu lazima asome eduke, sociology n.k
Alafu biashara ifundishwe kama general study from kindergarten to Uni Hauwezi kujifunza biashara baada ya chuo uo ni ujuhaa