Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Sasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Ni noma mzee!

Stress mara mbili hana kazi hana mume balaa zaidi akienda vibaya akageuzwa single mama hapo ndiyo habari yake imeisha,ndiyo hao tunakutana nao humu na usemi wao ”wanaume wote ni mbwa” na ”hakuna kama Aziz ki”
 
Ni noma mzee!

Stress mara mbili hana kazi hana mume balaa zaidi akienda vibaya akageuzwa single mama hapo ndiyo habari yake imeisha,ndiyo hao tunakutana nao humu na usemi wao ”wanaume wote ni mbwa”
Kweli kabisa kazi huna mume huna ni balaaa
 
Kazi ya elimu ni kutoa ujinga na kukupa mwanga wa kuona fursa, fursa zilizopo:-
  • Vijana 500 kazi ya kuchoma mahindi​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza kahawa​
  • Vijana 500 kazi ya kuembeza karanga​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza mayai mchemsho​
  • Vijana 500 kuchoma na kutembeza mishikaki​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza matunda​
  • Vijana 500 kazi ya kutembeza barafu​
  • Vijana 250 kazi ya kutembeza vyombo​
  • Vijana 100 kazi ya kutembeza nguo n.k​
Ajira hizo hapo
 
Alafu hivi inakuwaje?

Yani kijana ana maliza chuo hata akili ya kujitegemea au kupanga geto aanze kupambana hamna?

Yani mtu anamaliza chuo kisha anarudi kwa baba na mama kuvizia ugali?
.
Mbona sisi enzi zetu ukimaliza tu darasa la saba unasepa, mpaka wazazi wanakuwa hawajui umepotelea wapi!

Hiki kizazi ni cha vipi?
 
Kila mzazi anayesomesha ajitahidi kuweka angalau laki 5 kwa mwaka kwa ajili ya mwanae hapo baadae akisaka ajira. Hii ianze tangu akiwa chekechea.
Wangapi Tanzania hii wana uwezo wa kuweka hiyo 500K kwa ajili ya watoto zao?so akiwa na wanne kila mwaka aweke 2mill uchumi wenyewe huu wa kupapasa leo unacho kesho huna.

Tukubali tu tumeshakwama tena siyo kidogo pakubwa.
 
O
Alafu hivi inakuwaje?

Yani kijana ana maliza chuo hata akili ya kujitegemea au kupanga geto aanze kupambana hamna?

Yani mtu anamaliza chuo kisha anarudi kwa baba na mama kuvizia ugali?
.
Mbona sisi enzi zetu ukimaliza tu darasa la saba unasepa, mpaka wazazi wanakuwa hawajui umepotelea wapi!

Hiki kizazi ni cha vipi?
Oya nitafutie ghetto na mie nisepe
 
ccf406c19e854fbea263c75cf276288a_.jpg
 
Hi
Watu wasome Ufundi sio kila mtu lazima asome eduke, sociology n.k

Alafu biashara ifundishwe kama general study from kindergarten to Uni Hauwezi kujifunza biashara baada ya chuo uo ni ujuhaa
Hiyo ya biashara kufundshwa kama hisabat/GS imeanza mwaka jana.
 
Back
Top Bottom