Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Kila mzazi anayesomesha ajitahidi kuweka angalau laki 5 kwa mwaka kwa ajili ya mwanae hapo baadae akisaka ajira. Hii ianze tangu akiwa chekechea.
Kumbuka serikali inaweza leta elimu kwa wote kama ilivyo leo (elimu bila jasho/malipo) lakini kamwe haiwezi fanikisha ajira kwa wasomi wote.
Tuendako hata house girls watakuwa degree holders na mama mwenye nyumba atawatandika interview akiwa kibarazani kwake akichambua mchele.
 
Sasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
We jamaa una mawazo ya kipuuzi sana
 
Back
Top Bottom