Wanapata changamoto sana kitaa..they used to say "yule siyo type yangu😁, sasa ndyo limekuwa ni jiko lisilochagua kuni (non selective)
Mie sijaoa kwa sababu nina hiv nina kibamia alafu sina hela ya tunza familia na pia sina uwezo wakuzalishaww ujaoa unakla mbususus.
Big big crisisSasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Mwanamke ana type bwana watu wenyewe wanakimbizana na muda. Mwanaume ndio anakuwa na type. Mwanamke wee ukipata wakukuoa olewa..they used to say "yule siyo type yangu😁, sasa ndyo limekuwa ni jiko lisilochagua kuni (non selective)
Haijawahi kuwa solutionHaya wacha wasubiri ajira lakini ajira nyepesi ilikuwa kutumia mbususu zao
Kila mtu atatos mlio wakeAmsahau saiv 50/50 kila mtu anapambania future yake.
Haya wacha wasubiri solution.Haijawahi kuwa solution
Mwanaume ni kupambana tu bila kuchokaSana mkuu sasa huyo ni mwanamke ana option ya kuolewa je kidume?
Mm kama mwenyekiti mstaafu nasema tuendelee kushikilia hapohapo, haolewi mtu hapa.Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Kwakweli hii serikali Haina vipaumbele rasmiNa serikali imekaa kimya iko bize na sherehe za ajabu ajabu
Wale jeuri yao au sioMm kama mwenyekiti mstaafu nasema tuendelee kushikilia hapohapo, haolewi mtu hapa.
Eheee, watakula walipopeleka bikra.Wale jeuri yao au sio
Aisee sii mchezo. Huko tuendako ni balaaaEheee, watakula walipopeleka bikra.
We jamaa una mawazo ya kipuuzi sanaSasa kwani ukienda chuo ndio hawataki kuolewa? Hamna bwana hawa kataa ndoa inabidi waoe hawa wadada sasa angekuwa kaolewa huyo dada sii yupo home anatunzwa na mume wake na siajabu alishaanzishiwa biashara na kwa elimu yake tayari anaitumia
Una akili ndogo sana, binti yako atakuwa na baba mjinga sana.Yes ofcoz...akiolewa atatatunzwa atapata mtaji na vitu kama hivyo.
Ajira zenyewe hizi za vua chupi nikulenge ndio upate kazi sii bora ubue chupi akulenge mumeo
Mungu awapiganie wasomi wetu.