Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka

View attachment 3238169

huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.

Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana

No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.

Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Watanzania tunaishi dunia yetu. Nadhani elimu yetu duni hasa kutoweza kuelewa kiingereza na kukosa exposure ndiyo kinafanya watu wawe na akili kama zako. Nasema hivi kwa sababu nchi haiwezi kuwa na vijana ambao kila mmoja anafanya biashara. Jaribu kutembea nchi za Ulaya uone wanaomaliza vyuo vikuu ni wangapi wanafanya biashara na ni wangapi wanaajiriwa au kujiajiri wenyewe. Makosa ya CCM na viongozi wake kukosa plan na kutofanya kazi ya uongozi hakuwezi kumalizwa kwa vijana kuwa na ''mitaji ya biashara''. Hata kama ukiwapa wahitimu wote mitaji sasa hivi, bado hali itakuwa mbaya kwa sababu supply itakuwa kubwa kuliko demand. Matatizo ya CCM kufeli hayawezi kumalizwa kwa short-cut za kuwapa vijana mitaji ya kufanya biashara. Tuna tatizo kubwa linalohitaji urgent and aggressive solution, bila huu upumbavu wanaofanya Samia na wenzake. Tukubali kwanza tuna matatizo makubwa na tuungane wote kufumua mfumo wetu wa uongozi uliotufelisha na kuunda upya.
 
Kuolewa ni ajira?ni wanaume wangapi ambao wanaweza kumuaccomodate mwanamke needs zake na familia yake alikotoka ?unajua familia yake inahitaji msaada wake kiasi gani kiasi kwamba hajakata tamaa ya kuatafuta?unajua ni maumivu kiasi gani kuolewa na mwanaume asiyejielewa na kutambua mahitaji ya mwanamke unatamani utimiziwe ila mwanaume kwa makusudi au kutotaka hafanyi hivo..unajua ni maumivu kiasi gani huna ajira na unacheti kabatini maisha yanakuchapa vilivyo...
mliopata msidharau wanaojitafuta ni neema tu imewashukia kwa wakati wenu na ipo siku Mungu akiamua na wao watapata haina haja ya kejeli na masimango.
Sada hapo kejeli inatoka wapi tena?
Msimchoshe mungu na mambo yenu ya upuuzi. Mambo ya ajira haya mungu ni mifumo yetu mibaya bwana.

Ofcoz ujobless ni hali mbaya sana but kama mwanamke unashindwaje mshawishi mwanaume akuoe jamani 10 years.....hapana hapa napoo ebu tuangalie na hao wanawake wenyewe tabia zao
 
Hapo pa kumshawishi mwanaume akuoe ndo mtihani mkubwa..tupe uzoefu wako mkuu..mwanaume anaweza kuamua mwakani lazima nioe ila mwanamke ni ngumu..nasisitiza ndoa sio ajira na pesa ya kupewa inamasimango mno
 
Maisha hayamuonei mtu huruma

Surviving is Winning, everything else is bullshit
 
Hapo pa kumshawishi mwanaume akuoe ndo mtihani mkubwa..tupe uzoefu wako mkuu..mwanaume anaweza kuamua mwakani lazima nioe ila mwanamke ni ngumu..nasisitiza ndoa sio ajira na pesa ya kupewa inamasimango mno
Masimango gani tena jamani kama mke unatimiza wajibu wako.
 
Watanzania tunaishi dunia yetu. Nadhani elimu yetu duni hasa kutoweza kuelewa kiingereza na kukosa exposure ndiyo kinafanya watu wawe na akili kama zako. Nasema hivi kwa sababu nchi haiwezi kuwa na vijana ambao kila mmoja anafanya biashara. Jaribu kutembea nchi za Ulaya uone wanaomaliza vyuo vikuu ni wangapi wanafanya biashara na ni wangapi wanaajiriwa au kujiajiri wenyewe. Makosa ya CCM na viongozi wake kukosa plan na kutofanya kazi ya uongozi hakuwezi kumalizwa kwa vijana kuwa na ''mitaji ya biashara''. Hata kama ukiwapa wahitimu wote mitaji sasa hivi, bado hali itakuwa mbaya kwa sababu supply itakuwa kubwa kuliko demand. Matatizo ya CCM kufeli hayawezi kumalizwa kwa short-cut za kuwapa vijana mitaji ya kufanya biashara. Tuna tatizo kubwa linalohitaji urgent and aggressive solution, bila huu upumbavu wanaofanya Samia na wenzake. Tukubali kwanza tuna matatizo makubwa na tuungane wote kufumua mfumo wetu wa uongozi uliotufelisha na kuunda upya.

Wewe ndio huna akili.. hujui kama kila kitu ni biashara.

Kuanzia umeamka asubuhi mpaka unapoenda kulala umetumia kila kitu kinachotokana na biashara.

Biashara ndio legal way ya kumchukulia mtu mwingine pesa zake zije kwako. Ili na wewe uweze kumudu kupata mahitaji yako ya kuishi ambayo ni bidhaa na huduma kutoka kwa wengine
 
Kama unajua hivyo unalia mtaji wa fedha wa nini wakati elimu ndiyo mtaji unaoongoza duniani? Hujui unachozungumza wewe. Au huelewi hii thread. Jamaa kataka watu wapewe fedha za mitaji wakati elimu yenyewe ni mtaji tosha wa kufanya biashara.
 
Kwanza jamii lazima ibadilishe mtazamo, si lazima mtoto apite chuo kikuu kifanikiwa. Hii mitazamo ikiisha na jamii itabadilika

Hali ya ajira imebadilika nchini, jamii zetu haziko flexible na mabadiliko is why vilio vingi
Nafikiri hii thread ingefungiwa mjadala hapa kwenye hii point. Bado la EMS watu wataelewa tu ni kutoa ajira Kwa waalimu tu lakini mbeleni tutarudi shule za serikali maana ukisomesha mmoja akarudi mtaani na ukawaza kiasi Cha pesa ulizotumia EMS, hao wengine tutawapeleka shule za serikali
 
You do realize haiendi chuo kusaka mume, so point yako ni so irrelevant. Ishu hapa ni ajira kuwa ngumu dispite of elimu ipo

Wengi hawa wanakuwa raise, shuleni mpaka chuoni kwamba wakimaliza wataajiriwa, walimu, dkt, profan hawa waambii ukweli
Wewe ukiwa kiongozi utawapa wote hao ajira ?
 
Wanafunzi pekee waliohakikishiwa ajira baada ya kuhitimu ni madaktari na walimu tena ni awamu ya mkapa na kikwete. Sasa hii habari eti serikali imuajiri kila mtu ilianzia wapi ? Watanzania mnapo6osha sana. Mmepbana wenyewe kusoma serikali hwijawahi weka tangazo la wewe ukasome idpkuwa shule ya msingi. Sasa hanati ya kulazimisha vio gozi wawa ajiri ni kuwaonea bure. Kazi ya serikali kuanzieha vyuo na shule kusoma ni hiari yako ukiacha hufungwi.
Ningependa mtu kama RC chalamila awatolee uvivu .
Kundi linalopenda kuilaumu serikali kutowaajiri ni walimu na madaktari huwezi sikia wahasibu au engineers au wanasheria kwa sababu wao walishaga acha kuajiriwa kwa makundi kitambo sana.
Walimu na madaktari imetosha sasa kuilaumu serikali.
 
Yes ofcoz...akiolewa atatatunzwa atapata mtaji na vitu kama hivyo.
Ajira zenyewe hizi za vua chupi nikulenge ndio upate kazi sii bora ubue chupi akulenge mumeo
Sasa utaolewa na nani? Waoaji wenyewe wanajitafuta, hawana ajira wala biashara.
 
Sasa utaolewa na nani? Waoaji wenyewe wanajitafuta, hawana ajira wala biashara.
Hamna bwana...mwanamke wa miaka 25 anaolewa na miaka 30 amabyae anakuwa anagalau anamuelekeo.
Shida wanawake wwngi wanataka kiftu complete...no bubu life isnt that way. Work with ur man build ur own empire.
Ukiaema hivyonutasikia aah akishapata hela umestruggle nae haridhiki na mbususu yako atasaka wanawake wengine. Swali na wewe je ulishawahi ridhika na pesa?
 
Back
Top Bottom