john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 856
- 1,638
WAKUU,
WASALAAM
serikali yetu kwa sasa inavuna pesa nyingi,
mfano Tozo kwenye miamala ya fedhaa tuchukulie makato ya 800 zaman saiz ni 1350: serikali inachukua kama 500+ hivi........
Tanzania ina watu wanaokadiriwa kwa wastani 21000000+wanaofanya miamala kwa siku
(500×21000000=10500000000) kwa makadirio ya chini.....
na umeme inakata 18000 kwa mwaka kwa kila mwenye umeme
tuchukulie wenye umeme ni nusu ya watanzania wote (30, 000000×18000=540000000000) hii ni nje ya unit za umeme, kwa makadirio ya chini.....
na kodi zingine zipo palepale kama zaman....
nyingine tunakopa mala kwa mala..........
ngoja nirudi kwenye mada yangu !!!
serikali itengeneze utaratibu wa kuwalipa wahitimu ata 2k per month ata kwa miaka miwili baada ya kuhitimu , badala ya kuwadai tena wakati wengi ni jobless au wanafanya kazi zenye kipato duni sana.....
ukiwalipa 200000 per month ndani ya miaka ata miwili ipewe jina ACTIVATION SALARY FOR GRADUATES .......
ile pesa ya asilimia 4% ya maendeleo ya vijana halmashauri iondolewe kwan inakosa uhalisia wa maendeleo kwa vijanaa...........
hakna mradi unaoweza kufanikiwa kwa kuwapa vijana 2000000 alafu wako 15+.....
hii programmes ilishafail maeneo mengi, zaid sana ndo zile zinazunguka kwa ndugu na jamaa ndani ya wafanyakazi wa halmashaur badala ya wahusika ambao ni vijana watanzania wote.....
vijana waliohitimu wakipewa 2k per month activation wage, itawezesha kujiajiri katika fani mbalimbali kama ufundi, kilimo, uvuvu n.k........
baada ya hapo wataweza kulipa kodi maradufu na kuiletea nchi maendleooo zaidi.....
na tutaokoa nguvu kazi muhimu kwa USTAWI wa Taifa LETU.. ....
kuendeleo kuwepo kwa kundi hili kubwa na muhimu la vijana bila kazi mtaan na likilalamika kama tunavyoshuhudia katika maeneo tofaut tofaut ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu pendwa la TANZANIA............
ukiliwezesha hili , na ukasema CCM HOYEEEEEE.....LITAITIKIA KWA NGUVU ZAIDI KULIKO HALI ILIVO SASA.
AHSANTEE, ongezean mengine...........