Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu mbalimbali mhimu za kijeshi zimę shambulio a vibaya sana hata tu kuuzima moto kwao imekuwa ni shida.
Houth walijiingiza kwenye mgogoro wa kununua ugomvi wa kuwasaidia magaidi wenzao wa Hamas baada ya wao kufanya mauaji ya kutisha hapo Oct 07,2023 na sasa hivi wanachezea kichapo ca kufa mtu hata Bwana wao Iran hawasaidii kwa lolote.