US kawauwa wajomba zako wafrika afu unasema kapiga Al Houth, tukiwambia US hapigi target za Al Houth hata moja mnabisha sa kichapo kwenda kuwauwa Refugees walio tokea Africa wako pale Yemen. We kichaa kweli kweli kenge ni bora kuliko wewe.Wakati Iran inateseka na mvua za rasha-rasha kuzima mioto ya Banar ABBAs na Tehran Houth nao usiku kucha hawalali kutokana na kipondo wanachopata kutoka kwa majeshi ya anga ya Maekani sehemu mbalimbali mhimu za kijeshi zimę shambulio a vibaya sana hata tu kuuzima moto kwao imekuwa ni shida.
Houth walijiingiza kwenye mgogoro wa kununua ugomvi wa kuwasaidia magaidi wenzao wa Hamas baada ya wao kufanya mauaji ya kutisha hapo Oct 07,2023 na sasa hivi wanachezea kichapo ca kufa mtu hata Bwana wao Iran hawasaidii kwa lolote.
Uzuri huwa niwazee wa kujipa moyo ila kwa graund mambo magumu..hatutaki vilio vya pray forUS kawauwa wajomba zako wafrika afu unasema kapiga Al Houth, tukiwambia US hapigi target za Al Houth hata moja mnabisha sa kichapo kwenda kuwauwa Refugees walio tokea Africa wako pale Yemen. We kichaa kweli kweli kenge ni bora kuliko wewe.
Yemen ni kiboko ya US na Israel anapiga kwenye mshono kabisa. US ataishia kuwauwa civilian tu Al Houth atawapata wapi wazee walio zowea kuopoa asali za kwenye majabali.Uzuri huwa niwazee wa kujipa moyo ila kwa graund mambo magumu..hatutaki vilio vya pray for