Wahouth huko Yemen wapata kipigo cha mbwa-koko kutoka Majeshi ya Israel!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Jumapili ya leo Wahouth huko Yemen wamepata kipondo cha mbwa-koko tuwaombee tu!!

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Attachments

  • IMG_3972.jpeg
    224.6 KB · Views: 33
tatizo la Israel huluma zinamponza hapo ilitakiwa achome hata hata kawilaya kamoja kwaajili ya kuwapa taarifa yemen. kuchoma kagolofa kamoja na kuitangazia dunia. hapo Israel amezingua.
 
"....kutoka majeshi ya Israel", au kutoka ndege za kijeshi za Israel! Israel haina majeshi (watu) ya kupambana na Wahouthi. Ndege ndiyo kimbilio lao. Tena nyingi kati ya hizo ndege za kivita amepewa na baba yake Marekani.
 
Reactions: Lax

Endelea tu kujifariji baada ya kipondo cha kufa mtu walichokipata magaidi wa ki Houth!!!
 
Kama kawaida, lazima wapige matanki ya mafuta Ili kupata picha za kuji-mwambafy
Hapana ujinga wa Warabu wanaonyesha picture wakati Wayahudi wanaficha aibu zao.

Maneno yako ni kweli kabisa Israel huwa anatafuta ushindi wa kwenye picture ukweli Al Houth anampelekea moto si wa kawaida, sema wanaficha kabisa aibu zao ili wasichekwe wanapigwa na Yemen
 
Wajinga tu wanaamini UHARO wako huu!!! Kusema kweli Wahouth safari hii wamechezea kipigo cha mbwa-koko kasri la Mkuu wao limechakazwa sana!! Na Safari hii wameshikwa pabaya sana watanyooka tu!!!!!!
 
Attachments

  • IMG_3981.jpeg
    227.9 KB · Views: 34
  • telegram_video.mp4
    2.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…