Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi.
Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel ya wiki iliyopita ambayo yaliangamiza karibu serikali nzima ya Houthi. Utawala wa kigaidi nchini Yemen unaamini wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliisaidia Israel kwa njia za kijasusi.!
“Yajayo yanafurahisha sana”