Wahouthi sasa hivi wanapigwa na ndege vita za Israel

Wahouthi sasa hivi wanapigwa na ndege vita za Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Ndege-vita za Israel sasa hivi zinapiga kwenye bandari zinazomilikiwa na Houth hii inafuatia Jaribu lao la kurusha kombola la balestic huko Israel hata hivyo kombola hilo li lipo polewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel!!!🇮🇱

IMG_2878.jpeg
 
Kobaz viazi sana unajijua huna uwezo ww unarusha ngumi mwenzio anapangua ila akirusha yeye inapenya na kukuumiza ila Bado tu unataka kuendelea kupigana mwishowe akuite ulemavu au uuawawe kabisa
Mkuu hao kamwe hawakubali kuonewa kama sisi uku ngozi nyeusi nyumbu, unazan angekuwepo chief mkwawa asingekunikisha Kwa yanayoendelea?
 
Mkuu hao kamwe hawakubali kuonewa kama sisi uku ngozi nyeusi nyumbu, unazan angekuwepo chief mkwawa asingekunikisha Kwa yanayoendelea?
Houthi wanaonewa na nani? Wao ndiyo Wamenunua ugomvi ambao hauwahusu acha wapigwe tu akili zikiwajia wataacha!!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    1.1 MB
Mkuu hao kamwe hawakubali kuonewa kama sisi uku ngozi nyeusi nyumbu, unazan angekuwepo chief mkwawa asingekunikisha Kwa yanayoendelea?
Mkuu hao kamwe hawakubali kuonewa kama sisi uku ngozi nyeusi nyumbu, unazan angekuwepo chief mkwawa asingekunikisha Kwa yanayoendelea?
Israel haina interest yeyote na hao Houth, haina sababu yeyote ya kuwaonyesha ubabe hao wajinga Bali wao ndio walianza kuishambulia Israel kujifanya ni wababe kama ilivyokuwa Kwa Hizbullah kwahiyo unaposema hawakubali kuonewa nashindwa kukuelewa

Houth wananikumbusha story ya mshikaji wangu mmoja enzi hizo Kuna kidemu mtaani kilikuwa kinamu admire sana mwamba ila mwamba hakuwa akimpenda kwahiyo mara zote alikuwa anampotezea, issue ikaenda hivyo muda mrefu demu akawa kama amekata tamaa mwishowe akaanza kumzushia mwamba ni shoga basi jamaa alivyokuja kuzisikia zile taarifa akajishusha na kumwambia demu amekubali ombi lake wawe wapenzi kumbe alikuwa na lengo lake moyoni.

Siku Moja akampanga huyo Mwanamke wakutane geto amkate kiu yake ya muda mrefu, akatupa na sisi taarifa kwamba muda flani tujongee eneo la tukio kusikilizia mtu anavyotiwa adabu, muda ukafika jamaa akaingiza demu ndani baada ya kama saa Moja tukaanza kusikia yowe kutoka ndani demu akilalama yowe la kufa mtu kiufupi demu alitafunwa vilivyo na Toka siku hiyo akawa anaona aibu na jamaa akampotezea mazima baadae mwana alikuja kaniambia alimtafuna tope yule binti sasa naona kabisa Hawa Houth wakitafunwa tope na IDF huko mbeleni 😂
 
Israel is allegedly seeking to impose a naval blockade on the Houthis, Sky News in Arabic reported, citing an Israeli source.

Health Ministry: One citizen martyred and 9 others wounded in the Zionist aggression on Salif and Hodeidah ports (preliminary toll).​

 

.masirahtv.net​

​

Ministry of Health: Death toll from the Zionist aggression on Hodeidah has risen to 12 dead and wounded.​

 
Back
Top Bottom