Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

malisa napitaga kwake hapo kanisani kukatiza jeshini mwanzoni nlizani ni ukumbi wa harusi mpaka nlipokuja kujua ni kanisa
 
Kiongozi wa KIROHO wa Benny Hin nazani ni Catherine kuhlman na huwaga anaenda kutembelea kaburi lake Anasema Ile roho ya Catherine ime incarnate kwake

Sasa sijui hii nini kama sio uchawi
Cathryn Kuhlman alikuwa mlezi wake, lakini suala la "incarnation", n.k. sijawahi kusikia kitu kama hicho, na sitarajii Benny Hinn kuwa na mtazamo huo. Labda ulimwelewa vibaya mkuu.
 
Mungu awasimamie watumishi wake Amen.Binafsi tangu nikiwa na Miaka minne Wazazi wangu walikuwa wananunua tapes za Mwl Mwakasege,amekuwa mwalimu mwema sana kwangu Kwa Miaka takribani 30.Mungu amuongezee.
βœ…πŸ™

Nimemfuatilia Mwakasege tokea nikiwa mtoto mpaka sasa, lakini mahubiri yake hayajawahi kunikifu.

Ni kati ya watumishi ambao kila niyasikilizapo mahubiri yake, lazima nipate kitu kizuri.
 
Kumbe ni huko "mjini?"

Wengine tupo huku "mikoani" maeneo ya vijijini.

Huwa tukija huko "mjini" tunakuwa kama "wageni" fulani hivi.
ndio yupo wa huku naona wasanii wanasali kwake mpaka wolper sema kanisa lipo kama ukumbi flan ivi.
 
Wote hawa bado sijaona wa kumzidi yule nimpendae na ninayemkubali kwa 100% kama Daniel Mgogo mwenye Mahubiri ya Kiuhalisia wa Kimaisha na siyo Unafiki kama walio Wengi.
yaani wewe tangu uzaliwe unaonekana hujawahi kuhubiriwa na hauyajui mahubiri halisi yapoje. Mungu akusaidie.
 
yaani wewe tangu uzaliwe unaonekana hujawahi kuhubiriwa na hauyajui mahubiri halisi yapoje. Mungu akusaidie.
Mkuu kwema? Unapatikana wapi ndugu?

Natamani tuonane. Kwa Sasa nipo Geita, na mwezi ujao nitaenda Dar Es Salaam.

Kama unapatikana Mwanza, Dar Es Salaam, Geita au mikoa iliyo jirani na niliyoitaja itakuwa rahisi kukutana. Tunaweza kuonana?
 
Mkuu kwema? Unapatikana wapi ndugu?

Natamani tuonane. Kwa Sasa nipo Geita, na mwezi ujao nitaenda Dar Es Salaam.

Kama unapatikana Mwanza, Dar Es Salaam, Geita au mikoa iliyo jirani na niliyoitaja itakuwa rahisi kukutana. Tunaweza kuonana?
humu ndani sio watu wote wapo bongo ndugu yangu. sio wote tunatoka Geita humu. tafadhali.
 
Umenena vema sana
 
humu ndani sio watu wote wapo bongo ndugu yangu. sio wote tunatoka Geita humu. tafadhali.
Ni kweli mkuu, lakini watu si milima kwamba itakuwepo hapo siku zote.

~ Watu wanahama kikazi

~ Watu wanasafiri kila leo kwa sababu mbalimbali kama za kibiashara, utalii, kusalimia ndugu, n.k.

Yumkini unaweza ukawa maeneo ambayo katika mizunguko ya hapa na pale, tunaweza tukakutana.

Penye nia pana njia.

Tunaweza tukaweka mpango wa kuonana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…