Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

Orodha yako imejaa matapeli wa kiroho
Hilo mimi sijui mkuu!

Wengi wa niliowaoridhesha sijawahi kuonana nao ana kwa ana, lakini nimesaidika sana kupitia huduma zao.

Mimi ninachojua ni kimoja tu: hao ni watumishi wa Mungu ambao kupitia kazi zao, nimesaidika.
 
List nzuri sana;
Swali. Je hawa hapa ulishawahi kuwasikiliza?
Waongeze kwenye list na hakikisha kuwa umewasilkiliza





View: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUTbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWViZQ%3D%3D



View: https://www.youtube.com/watch?v=HmoGmSVaA8U&pp=ygUYbWNoIG1iaWUgS0tUIE1iZXppIEJlYWNo
 
Mchungaji Joshua Maponga, ukiskiza sentensi 2 tu huwezi acha kumskiza.

Pan africanist, and true son of Africa & bible hero
Yeah na mahubiri yake mengi kweli

Ujumbe wake naoupenda ni ule wa "Money is not evil"
 
Kuhani Musa hamna kabisa huyo
 
Pr David Mmbaga, Pr Paul Kwilasa, Pr Rose Shaboka, Pr Bosco Tungaraza, Pr Paul Semba, Pr Joshua Mbwambo...#okbye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…