Huwa naona ona tu kwenye tv nakutana nayo ila sijakaa nikafatilia sana..kuna moja niliona anafanya miracle money hela zinaingia kwenye simu za watu watakaobahatikaKwani ministry yake hujawahi kufatilia
FuatiliaMbona kimaro bado yupo vzr?
Kakengeuka lini?
Pr ni kifupi cha PastorKirefu cha hiyo Pr ni Padri au ina maana nyingine?
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏Pr ni kifupi cha Pastor
Kulisikiliza Neno la Mungu hakuchoshi, linahuisha!Kazi kweli kweli, Mbinguni utafika umechoka mno, umehubiriwa sana aise
Kuna walimu halafu Kuna Emmanuel Makandiwa ukimsikiliza huyu mwamba ni kama mistari ya BIBILIA unayoijua inakuwa mipya kabisaEMMANUEL MAKANDIWA
Victor Kusi Boateng
Tudor Bismarck
Hoja Madaha
Creflo Dollar
Itabidi na mimi nimfuatilie.Kuna walimu halafu Kuna Emmanuel Makandiwa ukimsikiliza huyu mwamba ni kama mistari ya BIBILIA unayoijua inakuwa mipya kabisa
✅👏👏👏
Finally ,hongera mkuu Kama unamjua 🙏🙏Akieleza kitu ni kama Profesa anatoa lecture. MAKANDIWA is the bestKuna walimu halafu Kuna Emmanuel Makandiwa ukimsikiliza huyu mwamba ni kama mistari ya BIBILIA unayoijua inakuwa mipya kabisa
mwamba anaongea kwa utulivu atumii nguvu, soft touch with great authorityFinally ,hongera mkuu Kama unamjua 🙏🙏Akieleza kitu ni kama Profesa anatoa lecture. MAKANDIWA is the best
Pr David Mmbaga, Pr Paul Kwilasa, Pr Rose Shaboka, Pr Bosco Tungaraza, Pr Paul Semba, Pr Joshua Mbwambo...#okbye
Amen..tena nilimsahau Njuguna ananipaga flavor sanaMimi sio wa muda sana kwenye haya masuala ya dini. .
Ila hawa wachungaji wananibariki sana kwa mafundisho yao
1. Mch. Maotola Lumbe
2. Mch David Mbagq
3. Mch. Geoffrey Mbwana
4. Mch. Lusekelo Mwakalindile
5. Mchungaji Joshua Njuguna
Mtu mmoja mnyenyekevu sanaNamkubali mchungaji Mbwana
Uko very true kuna jambo la tofauti sana katika kufundisha kwake.Napendelea sana akimaliza kufundisha somo fulani ni lazima aambatanishe na kipengele cha maswali na majibu to kwa waumini.mwamba anaongea kwa utulivu atumii nguvu, soft touch with great authority