Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

Kwani ministry yake hujawahi kufatilia
Huwa naona ona tu kwenye tv nakutana nayo ila sijakaa nikafatilia sana..kuna moja niliona anafanya miracle money hela zinaingia kwenye simu za watu watakaobahatika
 
Japo ni uongo ulotukuka. Umgesema wenye ushawishi mkubwa kudanganya watu.
Bila Nick, hapo hamna kitu!
 
Kuna walimu halafu Kuna Emmanuel Makandiwa ukimsikiliza huyu mwamba ni kama mistari ya BIBILIA unayoijua inakuwa mipya kabisa
Finally ,hongera mkuu Kama unamjua 🙏🙏Akieleza kitu ni kama Profesa anatoa lecture. MAKANDIWA is the best
 
Mimi sio wa muda sana kwenye haya masuala ya dini. .

Ila hawa wachungaji wananibariki sana kwa mafundisho yao

1. Mch. Maotola Lumbe
2. Mch. David Mbaga
3. Mch. Geoffrey Mbwana
4. Mch. Lusekelo Mwakalindile
5. Mchungaji Joshua Njuguna
 
mwamba anaongea kwa utulivu atumii nguvu, soft touch with great authority
Uko very true kuna jambo la tofauti sana katika kufundisha kwake.Napendelea sana akimaliza kufundisha somo fulani ni lazima aambatanishe na kipengele cha maswali na majibu to kwa waumini.
 
Kimataifa nianze na Bonke, Cerullo, Janks, Joyce Mayor, Hinn. Tanzania nianze na Mabondo, Kulola, Kakobe, Mwakasege, kuna muhubiri wa kimataifa raia wa Dermark aishiye Arusha Egon Falk. Kuna wachungaji wa mikoani/kikanda nao wako vizuri kama John Mafyimbo, Brown Mwakipesile, Mwizarubi, Mahene, Gamanywa, Katunzi, Mulenga, Jecha, hao mapastor ukisikiliza injili wanayoihubiri utaokoka tu. Orodha ni ndefu kwa leo niishie hapa
 
Niulize tu, Keneth Copeland na Gloria Copeland ni wahubiri wakubwa, je wana uhusiano gani wa kifamilia? Je ni mume na mke au ni kaka na dada?
 
Back
Top Bottom