Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

Listi feki hiyo mwapo ndo.mtume anaye kusanya watu wengi kwa sasa ina maana hawana ufahamu
Kwani kukusanya watu wengi ndio kigezo cha kuwa real?. Hao kina mwamposa wanatumia dwafs na madawa ya mvuto kuvuta watu. Almost 99% ya hawa manabii wa uongo ni waabudu mashetani wanazo a lot of tools za kuvuta watu na mkajikuta mmejaa hata uwanja mzima bila hata kujijua.
 
Kwenye list yako, wa kimataifa 90% ni fake. Local 70% fake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…