A
Hawo ni wahuni tu kama wahuni wengine. Washughulikiwe kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi.Mimi nina kero moja hawa wahudumu wa mabasi ya mwendokasi wanatoza nauli zaidi tofauti na utaratibu wa nauli zilizowekwa kwa kisinginzio cha kukosa chenji.
Kwa mfano nauli ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani ni Tsh 1,250 ukitoa noti ya 2,000 unarundishiwa 500 wakisema chenji hamna.
Karibu kituo Chao Cha Muhimbili Kila siku Kila saa hawana chenji ya 250 tetesi Kila siku wahudumu hutoka na mafao haramu ya 30000.😡Mimi nina kero moja hawa wahudumu wa mabasi ya mwendokasi wanatoza nauli zaidi tofauti na utaratibu wa nauli zilizowekwa kwa kisinginzio cha kukosa chenji.
Kwa mfano nauli ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani ni Tsh 1,250 ukitoa noti ya 2,000 unarundishiwa 500 wakisema chenji hamna.