Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ni mtagi huyu ndugu yangu MK254 njoo huku aisee
ila wenzetu wanajua biashara sana, yani ukikohoa au kujikuna kama yupo karibu huyo keshafika, kwa ndege zetu sijaona hata shirika 1 likifanya hivyo wakishamaliza kutoa tahadhari huwasikii tena labda wapitishe vinywaji,
Ukosahihi mkuu, mfano mwisho wa safari utawakuta mlangoni wakikutakia kila la kheli na kukukaribisha usafiri nao tena, lakini kwa hawa jirani zetu Kenya Airways tumefika Dar es salaam tunatoka kwenye ndege hata sikuwaona wahudumu sijui walikuwa wapi.ila wenzetu wanajua biashara sana, yani ukikohoa au kujikuna kama yupo karibu huyo keshafika, kwa ndege zetu sijaona hata shirika 1 likifanya hivyo wakishamaliza kutoa tahadhari huwasikii tena labda wapitishe vinywaji,
Kuna mshamba mmoja wa Tanzania alipoona wahudumu wa Qatar wanachekacheka kikazi yeye akajua mtoto kamzimia baada ya kilevi si akaenda kumshikashika akajua yupo ambiance Sinza matokeo yaje Safari ya UK ikaishia Doha Mahabusuila wenzetu wanajua biashara sana, yani ukikohoa au kujikuna kama yupo karibu huyo keshafika, kwa ndege zetu sijaona hata shirika 1 likifanya hivyo wakishamaliza kutoa tahadhari huwasikii tena labda wapitishe vinywaji,
tena hapo wote wanajikusanya na kuanza kukaribishwa tena, mie nadhani labda wale customer care yao ya airline ni tofauti na ya wa kwetu, labda principles wanazofundishwa ni tofauti na za huku ndio maana, kwanza utakuta wamenuna, wanatabasamu wakiwa wenyewe kwa wenyewe, huwa nawatizama tu nasema wacha nifike tu mengine hayanihusuUkosahihi mkuu, mfano mwisho wa safari utawakuta mlangoni wakikutakia kila la kheli na kukukaribisha usafiri nao tena, lakini kwa hawa jirani zetu Kenya Airways tumefika Dar es salaam tunatoka kwenye ndege hata sikuwaona wahudumu sijui walikuwa wapi.
alidhani pombe ni chai hahahahahaKuna mshamba mmoja wa Tanzania alipoona wahudumu wa Qatar wanachekacheka kikazi yeye akajua mtoto kamzimia baada ya kilevi si akaenda kumshikashika akajua yupo ambiance Sinza matokeo yaje Safari ya UK ikaishia Doha Mahabusu
kuna mwaka nilikuwa natoka SA na SAA basi wakakosea kwenye kucheck in wakacheki in na kaka 1 ( seat 1 - watu wa2) kutoka malawi nae alikuwa anarudi tz, sijui alikuwa mlevi sasa mie nilitangulia, kaka alikuja moto siti yangu toka, akafuatwa yule kaka akawa mkali, nikaona wanaongea kikwao na ops manager wao, dk 1 nyingi niliona wanakuja wananiomba na msamaha, wakaniambia ninyanyuke wakauliza mizigo iko wapi, wakaichukua nikapelekwa business class, kwanza nataka kukaa huku navua koti nilisikia tu bint wa watu sorry, akalichukua koti akaenda liweka kwenye makabati yao, muda huo anakuja kuniomba msamaha kwa lililotokea, nikaulizwa nitapendelea kitu gani cha kula au kunywa, daah kwa vile nilikuwa nina siku sijala mipande ya samaki, wacha nifakamie misamaki na kinywaji murua, kuna wakati niliinama hivi nikamuona anakuja speed, vipi nikusaidie nini huku anatabasamu, si unajua mitoto ya kizulu ilivyoumbika, ndege ilipofika dar bado nikabebewa mzigo wangu mpaka natoka nje ya ndege na samahani zikiwepo kibao, nikasema kwetu hicho kitu sahau aisee,Ukosahihi mkuu, mfano mwisho wa safari utawakuta mlangoni wakikutakia kila la kheli na kukukaribisha usafiri nao tena, lakini kwa hawa jirani zetu Kenya Airways tumefika Dar es salaam tunatoka kwenye ndege hata sikuwaona wahudumu sijui walikuwa wapi.
Yeye hakuwa mpiga dili nyie mlio zoea kupiga madili ndiyo mnalala mika maisha magumu:By JPMDuh!hongera yako mwayebo umepanda ndege kipindi hiki wenzio mpaka tukafanyiwe upasuaji India tena kwa michango ya watanzania
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahaha... Jamaa hakujiongezea kazama mazima hzi nyege bhanaKuna mshamba mmoja wa Tanzania alipoona wahudumu wa Qatar wanachekacheka kikazi yeye akajua mtoto kamzimia baada ya kilevi si akaenda kumshikashika akajua yupo ambiance Sinza matokeo yaje Safari ya UK ikaishia Doha Mahabusu
Kenya Airways(KQ) ilianzishwa mwaka 1977,wakati inaanzishwa shirika la ndege la Korea lilikuwa limeshaanzishwa na lilikuwa linatumia code ya KA (Korean Air)...ndipo Kenya walipoamua kutumia hiyo code wanayotumia mpk sasa.Kuna kitu labda hakipo sawa..
Mkuu kirefu cha KQ ni nini?
Hizi sasa ndo 'facts' anazofaa kusoma mtu kila anapoingia hapa jf!Kula like yangu mkuu!Kenya Airways(KQ) ilianzishwa mwaka 1977,wakati inaanzishwa shirika la ndege la Korea lilikuwa limeshaanzishwa na lilikuwa linatumia code ya KA (Korean Air)...ndipo Kenya walipoamua kutumia hiyo code wanayotumia mpk sasa.
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app