Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Hiyo soccer City ipo wapi mkuu naona kuna mali safi sana hapoSoccer City hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo soccer City ipo wapi mkuu naona kuna mali safi sana hapoSoccer City hapa
Ahsante sana mchawi mstaafuMwenge nyuma ya vinyago karibu na ilipokuwa Igongwe bar
TRA hakuna mshahara mrefu. Wanachokimbilia vijana ni RUSHWA.Tatizo linalopelekea hilo ni kudharau Proffessionalism. Mamtoni hakuna cha kima cha chini wala juu. Kazi ni kazi na you get paid accordingly haswa kwa masaa unayospend kazini.
Wanaheshimu sana professionalism na serikali imesimamia kazi mishahara haipishani sana. Kuna nchi range ya mshahara unalipwa dollar 15-20 kwa lisaa na ni watu wote awe banker awe bar tender hamna kumlipa mtu dollar 5 au dollar 2 ni mwiko. Kwa minajili hio hapo dharau zitatoka wapi?
Ila bongo kuna mtu analipwa laki 3 kwa masaa 8 na anaenda kunywa kwa mtu anaelipwa si zaidi ya elfu 3 kwa masaa 16. Sina wa kumlaumu zaidi ya serikali. Walitakiwa wasimamie professionalism tuondokane na mambo ya kishamba ndio matokeo yake kila nafasi za kazi zikitoka TRA kila mtu anagombania kwenda kule sababu paycheck ni kubwa.
Tanzania watu hudharau sana professions za watu na ni cadre chache mno ambazo wameweza walau kuheshimu professionalism na ndio maeneo kama Bank, Airport, Logistics Companies mf. Alistair, GSM, Telecommunication Operators akina Voda,Tigo.
Hilo ndio limepelekea zile kazi kuonekana zina hadhi flani japo mishahara inaweza ikawa ya wastani ila si sawa na Maids wa ma Bar ama Migahawa ambao wanalipwa chini sana tofauti na ambacho wanazalisha na wanatumika muda mrefu mno.
Niliwahi kusikia Samaki Samaki analipa vizuri zaidi wafanyakazi wake pale. It makes sense maana wanaingiza hela nyingi pia na amethamini muda wao na efforts. Huu ndio mfano wa heshima katika professionalism.
Ahahaha kuna rushwa bweleleeTRA hakuna mshahara mrefu. Wanachokimbilia vijana ni RUSHWA.
Ahahaha kuna rushwa bwelelee
Ndio maana wakimaliza mwaka tayari wana magari na mishe za kuoa zinaanza chap chapRushwa imetamalaki, kuna rafiki yangu nilikua nafanya naye kazi alipata kazi TRA mshahara wake ni 960,000 kwa mwezi, gross. Ila hizo rushwa ni mara 10 ya mshahara na zaidi kwa mwezi.
Magari banah, wanakopeshwa na benk yao ni Azania. Wale jamaa wanawapa mpunga mrefu sana.Ndio maana wakimaliza mwaka tayari wana magari na mishe za kuoa zinaanza chap chap
Mshana naomba ruhusa yako kama naweza kuna PM...Nina ishuNi kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia
Mavazi, Malazi, Kusomesha, Kuhudumia wazazi na ndugu Kufungua biashara, Kujenga, Kununua vitu vya thamani, Kuhonga
Kujihudumia nknk, Wahudumu wengi wa bar wametokea, Vijijini na kwenda sehemu za mijini kusaka maisha hasa majiji makubwa
Wengi kiasili wamekatishwa masomo kwa kukosa karo ama kupewa ujauzito.
Wengine wameachika ama kukimbia manyanyaso ya ndoa, Wengine ni yatima, Wengine ni watoto wa kambo Na wengine wametokea kwenye uhudumu wa nyumbani (beki 3). Kimsingi mhudumu wa bar haishi kwa mshahara bali maslahi na ndio maana wengi baada ya kuwa wazoefu huchagua bar kubwa kubwa ama zenye wateja wengi.
Wengi wao huwa na chuki iliyofichama juu ya wanaume ama wanawake walio kwenye ndoa. . Na wengi wao huwa hawana mapenzi ya kweli kulingana na past history kwenye mapenzi na mahusiano. Wengi huishi kwa target za siku za wiki na mwezi.. Anahakikisha kwa siku husika anatimiza lengo kwa namna yoyote ile. Je wanapate pesa?
1. Kuchomekea bili (sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na kaunta)
2. Kuongeza bei ya vinywaji(sometimes hili hufanywa kwa ushirikiano na matron au manager).
3. Offer.. Hapa ndio wanapapenda mno...na hupendelea kuhudumia meza za wanaume tupu na wenye macho juu juu.. Wengi ukimpa offer atahakikisha anachukua kinywaji cha bei juu na ukimuuliza mbona hanywi anakwambia atakunywa baadae maana muda huo hawaruhusiwi.
4. Kinywaji ulichonunua wewe mnaweza kukinunua meza tatu tofauti bila kujua na wengine huzuga kunywa kumbe ndani maji.. Kinywaji husika anaweza kukata pesa yake kwenye bili ama akakiuza kwa mteja mwingine
Wahudumu wengi huwa hawana bajeti ya chakula jioni na usiku.. Kama sio offer basi atachonga na mtu wa jikoni na kupunguziwa chakula cha wateja hasa zile bar zenye nyama choma na kitimoto.. Akikosa kabisa hukopa na kulipa wakati wa kufunga
Wahudumu wengi hawapendi ngono bali hufanya hivyo kwa nia ya kuingiza kipato ama kutimiza hesabu.. Na mwanaume mbele ya barmaid ni sawa na umbwa tuu... Wengi hupendelea kupumzika siku ya Jumatatu au Jumanne.. Hizi ni siku zisizo na hela na hata kugawa uroda huwa ni siku hizo kwa sehemu kubwa
Kuanzia Jumanne mpaka Alhamisi wanahakikisha wanatengeneza kati ya elfu 20 mpaka 50 kulingana na bar.. Na kuanzia Ijumaa wanahakikisha wanaingiza 50 mpaka laki+ pia kulingana na bar Mshahara wa barmaid kwa sehemu kubwa hauzidi laki moja.. Lakini kwenye mishe zake hiyo ni pesa ya siku mbili mpaka 6 kulingana na bar
Wahudumu wengi hawaipendi siku ya Jumapili maana ni siku ya vikao na wababa wengi hutoka na wake zao ama familia. Siku bora kwao ni Alhamisi, Ijumaa na Jumamosi. Wateja wanaowapendelea sana ni wale wa saa 12 jioni mpaka saa tatu usiku hawa kwa sehemu kubwa ni wafanyakazi na wana pesa.
Wahudumu wa bar nao huwa na hisia za upendo wa kweli hivyo hata awe malaya vipi Lakini ana mtu wake mmoja anayempenda na kumheshimu sana.. Wengi ni vimada wa wenye ndoa zao na wamepangishiwa vyumba na kuhudumiwa kila kitu.. !
Madhila yao
Pamoja kuwa na njia lukuki haramu na halali za kuwaingizia kipato kikubwa lakini pia wanakutana na changamoto nyingi baadhi zikiwa
-Kufumaniwa
- Kupewa mimba na kukimbiwa
- Kuambukizwa magonjwa ya zinaa
- Kuambikizwa ukimwi
- Kubakwa
- Kudhalilishwa kingono
- Kuachiwa nuksi
- Kupigwa
- Kuibiwa
- Kurogwa nknk
Wengi waliopitia haya hujikuta wanakuwa sugu na mabanditu ya kutupwa, Anaweza akala na kunywa vyako kisha akakumbia
Anaweza kukuchomesha mahindi, Anaweza kukuibia usiku, Anaweza kukuitia wahuni, Unaweza kukuroga
Anaweza kwa makusudi kabisa kukuambukiza magonjwa mabaya nk
Hayo ni machache kati ya mengi kwenye ulimwengu wa wahudumu wa bar. Nyege zako ni mtaji kwao. Cheza kwa step! Makinika unapoenda bar. Kuna wengi kati yetu pombe hukumbilia chini na wengi wameharibu kazi, kipato, future, biashara kwa sababu ya wahudumu wa bar!
Kwa hiyo Kwa kifupi unakunywa bia zako mwenyewe sio[emoji1787]Kuna siku nilipita bar moja kupata dinner, nikawa nimekaa pembezoni mwa bar,, cha kushangaza meza niliyokuwa nimekaa imejaa bia na mhudumu anaendelea kuleta bia ilhali meza ile hakuna mnywa bia. Nikatamani kumuuliza mhudumu ila nikasita.
Baada ya kuomba anihudumie kinywaji nikamuomba aniletee maji, hapo nikawa nimefungua uwanja wa kupata jibu la nilichokuwa najiuliza. “Kumbe nawe hutumii pombe kama mimi, unaona hizi pombe hapa mezani napewa offer na wateja mie nazipack hapa, hao hao wanaoninunulia wakiagiza tena mie siendi counter nazunguka narudi kuchukua hizi pesa naweka mfukoni. (Msichokijua pia wanaangalia unakunywa bia gani, ukimpatia offer nae anaangukia humohumo ili kadri unavyoendelea kuagiza awe anakuuzia zile ulizompatia offer).
Kumbe unafikaga Kingaz resort [emoji322][emoji323][emoji322]Barmaid wengi hawana furaha. Hili ni kweli asili mia mia moja. X wangu mmoja maisha yalimpiga kuna times alikua barmaid. Bar ilikua gerezani pale karibu na ile roundabout OP na Passion FM. Incidentally tulikutana mahali, akanipa namba....siku 1 nimetoka job nikampitia. Nikamwambia nataka kuongea naye. Akaniambia nimpe pesa akampe manager amruhusu atoke muda huo. Nikampa na hapo ndipo nilipojifunza kumbe ukitaka kumla barmaid muda wa kazi unamlipia.
Kuna siku nimetoka kulewa na mwanangu mmoja Kingazi Resort usiku (kijichi), tukaenda Kisuma pale Sabasaba Mbagala kufata supu ya mkia. Ilikua mida mibaya kama saa 6 kuelekea 7, mhudumu aliyetuserve chakula nilimuelewa. Nilimpa namba yangu. Nikamwambia akitoka anitafute.
Hakuwa na hiyana akanitafuta. Nilikua nishafika home. Akaja na boda......mhudumu wa kwanza kumla ilikua Dodoma mjini, kuna bar pale Jamatini stand kwa nyuma (hata jina siikumbuki).
Katika kupiga nao story hao 2, nikagundua hawa na furaha, hawaipendi kazi yao ila hawana jinsi. Wana chuki dhidi ya wanaume hasa waliowazalisha na kuwakimbia. Hawana cha kupoteza.....ndio maana analala na yeyote ili mradi siku imeenda vizuri kwake. Hawajali ukimwi wala nini. Utajua wewe.
Pale mkuu chimbo langu la kula watoto wa kishua. Dem mkali mkali pale ndo kichinjio chao. Anfield yangu ile kama ilivyo Liverpool.Kumbe unafikaga Kingaz resort [emoji322][emoji323][emoji322]