Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

TRA hakuna mshahara mrefu. Wanachokimbilia vijana ni RUSHWA.
 
Barmaid wengi hawana furaha. Hili ni kweli asili mia mia moja. X wangu mmoja maisha yalimpiga kuna times alikua barmaid. Bar ilikua gerezani pale karibu na ile roundabout OP na Passion FM. Incidentally tulikutana mahali, akanipa namba....siku 1 nimetoka job nikampitia. Nikamwambia nataka kuongea naye. Akaniambia nimpe pesa akampe manager amruhusu atoke muda huo. Nikampa na hapo ndipo nilipojifunza kumbe ukitaka kumla barmaid muda wa kazi unamlipia.

Kuna siku nimetoka kulewa na mwanangu mmoja Kingazi Resort usiku (kijichi), tukaenda Kisuma pale Sabasaba Mbagala kufata supu ya mkia. Ilikua mida mibaya kama saa 6 kuelekea 7, mhudumu aliyetuserve chakula nilimuelewa. Nilimpa namba yangu. Nikamwambia akitoka anitafute.

Hakuwa na hiyana akanitafuta. Nilikua nishafika home. Akaja na boda......mhudumu wa kwanza kumla ilikua Dodoma mjini, kuna bar pale Jamatini stand kwa nyuma (hata jina siikumbuki).

Katika kupiga nao story hao 2, nikagundua hawa na furaha, hawaipendi kazi yao ila hawana jinsi. Wana chuki dhidi ya wanaume hasa waliowazalisha na kuwakimbia. Hawana cha kupoteza.....ndio maana analala na yeyote ili mradi siku imeenda vizuri kwake. Hawajali ukimwi wala nini. Utajua wewe.
 
Rushwa imetamalaki, kuna rafiki yangu nilikua nafanya naye kazi alipata kazi TRA mshahara wake ni 960,000 kwa mwezi, gross. Ila hizo rushwa ni mara 10 ya mshahara na zaidi kwa mwezi.
Ndio maana wakimaliza mwaka tayari wana magari na mishe za kuoa zinaanza chap chap
 
Mshana naomba ruhusa yako kama naweza kuna PM...Nina ishu
 
Kwa hiyo Kwa kifupi unakunywa bia zako mwenyewe sio[emoji1787]
 
Kumbe unafikaga Kingaz resort [emoji322][emoji323][emoji322]
 
Unalinganisha bar maids na graduate?
Graduates wadange!
Wagawe papuchi na Dyudyu.. wauze.
 
Pale mkuu chimbo langu la kula watoto wa kishua. Dem mkali mkali pale ndo kichinjio chao. Anfield yangu ile kama ilivyo Liverpool.
YNWA
Sorry room bei gani pale .. [emoji23] maana kidogo siku hizi nimetundika daluga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…