Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Such a useful insight...
 
Maisha ya kupigwa dushelele kila saa. Ndoo maisha mazuri hayo?? Mleta maada usiwadanganye ma dada zetu…,
 
Maisha ya kupigwa dushelele kila saa. Ndoo maisha mazuri hayo?? Mleta maada usiwadanganye ma dada zetu…,
Nadhani hujaelewa kabisa nilichoandika ama hukusoma maudhui.. Umechangia kwa kusoma kichwa cha habari tuu
 
Binafsi nawapenda ma bar maid sababu hawa ni wateja wetu wakubwa kwenye biashara yetu ya boda na trip zao ni fupi fupi tena malipo ni mazuri sana na ikitokea ajali ya hisia yaani kishkaji buku 2 unakula mzigo .

I LOVE U MA BAR MAID
 
Well said, ni ukweli mtupu 100%
 
Hao watu nao kuna wakati wanampenda mtu na wanakwama kabisa.

Nilishapata mmoja kwangu alikwama, nilikuja kumuacha kwa ubabe tu wala hakunikosea. Nilitafakari sana mi na barmaid wapi na wapi nikaona nimteme tu ila nilidumu nae kama mwaka mmoja hivi.
 
Je wamiliki wa hixo bar ndio watakuepo na maisha bomba zaidi ya hao
 
Babe la mji kitabu gani hichi ktk biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…