Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi keto sasa.

Hawa wajinga ni nyoko wanajifanya wanakunywa Heineken, Windhoek, savannah na Reds.

Kazi yao kuomba bia na misosi ni aibu ni noma sana.

Sina cha kuwasaidia

Wadiz
 
Wamekufuata kwako au umewafuata?

Kama ulifuata pombe na muziki si ujifungie ndani kwako uwashe muziki na kutupia lager zako?

Karibu mujini kiuno
 
Wakiomba una haki ya kuwapa au kuwanyima; Tofauti na wengine wanaochukua bila hata kuomba; au wanaotembeza bakuli kila mahali kuomba pesa kwa jina la Tanzania....

Quid-Pro-Qou sidhani kama ukitoa huo msaada wewe hakuna unachoomba....

Anyway to each his/her own
 
Back
Top Bottom