Wahudumu wa bar bila kuvaa nguo fupi, biashara haiendi?

Pombe ni nyoko nlilewa nikabeba bar maid nkaenda mkula asubuhi pombe zimeisha dah kumtoa ilikua aibu demu ana ngeo usoni Kama kibaka wakati usiku nlikua namwona Kama Rihanna vile
 
Mawili aidha kuna barmaid mwenye kimini kamvutia ila ni domo zege kashindwa kumpata ama ana demu wake barmaid anaona watu wanamkodolea sana macho.

Kinyume na hapo haingii akilini mtu anakwenda bar na kutarajia kuona wahudumu wamevaa mabazee.
😂😂😂
 
Mmeanza mmeona kutukataza vpn haitoshi mnakuja na huku! Walahi huku tutatoka na uhai wa mtu naona ukimchekea nyani utavuna mabua!
Dawa yako ndogo, nakupeleka bwawa la kuogrlea ukaaibike😂😂
 
smartphone bila YouTube ni sawa na kanjanja mkuu.
 
Bila picha nakushauri nenda msikitini utakuta wamevaa hadi kichwani.
 
inategemea sera ta mwenye baa
 
Sheikh, kwani huko bar ulifuata nini? Majaribu mengine ni ya kujitakia.
 
Weka picha sisi Wengine huwa hatuendi bar
 
yes, biashara ni ngumu sana bila hilo vazi, asikwambie mtu....
 
Utakuwa sio mnywaji wewe. Sisi nafsi zetu huwa zinasuzika unakunywa bea huku unaona wahudumu wakiwa wamejaza mzigo kwenye vipedo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…