Wahudumu wa Bar inakuwaje wanapenda kujisahaulisha chenji?

Wahudumu wa Bar inakuwaje wanapenda kujisahaulisha chenji?

Hizo ndio bonus zao waachie tu mishahara 60k pia wengi single mother waishije sasa.
 
Hawa mademu wa Bar.

Kama wapuuzi sana kwanini wanatabia ya kujisahaulisha chenji wao wanachululia hela nyepesi.
Wanafanya makusudi ili uone aibu kudai 500 yako na akifanya hivyo kwa wateja 10 ana 5000 yake😁😁
 
Hawa mademu wa Bar.

Kama wapuuzi sana kwanini wanatabia ya kujisahaulisha chenji wao wanachululia hela nyepesi.
Hela ingekuwa ngumu usingeinywea pombe, wao hawaoni faida ya Pombe kwanini wakupe chenchi halafu ununue tena Pombe?
 
Hadi walevi huwa mnakumbuka chenji? Kweli hali ni ngumu!😀
 
Back
Top Bottom