Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Hao Malaya sio wakuwapa tip,Jifunze kutoa tip mkuu.
Wana dharau hao! Usiombe umefika unataka huduma halafu kaja bwanake yupo meza ya karibu,
Wewe atafanya kama hakuoni kabisa! Mi Huwa nakuwaga sura ya mbuzi nikiendaga sehemu hizo,sitaki mazoea nao kabisa!