ukwelimtupu2025
Member
- May 29, 2025
- 35
- 54
Ni ugumu wa maisha tuHawa mademu wa Bar.
Kama wapuuzi sana kwanini wanatabia ya kujisahaulisha chenji wao wanachululia hela nyepesi.
Sisi wenyewe tuna ugumu wa maisha tumeamua kunywa pombeNi ugumu wa maisha tu
$asa afadhali sisi tuna za kunywea pombe,wao ni pakavu mnoSisi wenyewe tuna ugumu wa maisha tumeamua kunywa pombe
Kaka si wenyewe hatuna hela hela ya kula Tumeamua tunywee pombe$asa afadhali sisi tuna za kunywea pombe,wao ni pakavu mno
Tuendelee kupambana$asa afadhali sisi tuna za kunywea pombe,wao ni pakavu mno
Fanya kama mimi mkuu, yaani watakua wanakuambia ukahudumiwe kaunta...Hawa mademu wa Bar.
Kama wapuuzi sana kwanini wanatabia ya kujisahaulisha chenji wao wanachululia hela nyepesi.
Wanafanya makusudi ili uone aibu kudai 500 yako na akifanya hivyo kwa wateja 10 ana 5000 yake😁😁Hawa mademu wa Bar.
Kama wapuuzi sana kwanini wanatabia ya kujisahaulisha chenji wao wanachululia hela nyepesi.
Wanafanya makusudi ili uone aibu kudai 500 yako na akifanya hivyo kwa wateja 10 ana 5000 yake😁😁
[/QUOT
Wamemikera nakunywa bia hap kuna lidem limejisahahaulisha ten yangu nimelitqfuta
Ndo elfu 10 mtu ajisahaulisheWanafanya makusudi ili uone aibu kudai 500 yako na akifanya hivyo kwa wateja 10 ana 5000 yake😁😁
Hela ingekuwa ngumu usingeinywea pombe, wao hawaoni faida ya Pombe kwanini wakupe chenchi halafu ununue tena Pombe?Hawa mademu wa Bar.
Kama wapuuzi sana kwanini wanatabia ya kujisahaulisha chenji wao wanachululia hela nyepesi.
Sasa how come wao wanaona pombe yangu dhambi hela zangu wanazitakaHela ingekuwa ngumu usingeinywea pombe, wao hawaoni faida ya Pombe kwanini wakupe chenchi halafu ununue tena Pombe?
Ugumu na ujanja ujanja. Nilienda mahali watoto wakala chips mayai sahani Moja, Mimi mishikaki 2, Maji, soda Moja na bia Moja. Sehemu ya kawaida tu kaleta bili 25k!Ni ugumu wa maisha tu
Wale wa keep - change, huwa wanapiganiwa katika kuhudumiwa..Fanya kama mimi mkuu, yaani watakua wanakuambia ukahudumiwe kaunta...
siyo kila anayetumia pombe anaitwa mlevi, wengine ni wanywaji tuHadi walevi huwa mnakumbuka chenji? Kweli hali ni ngumu!😀