Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Hao Malaya sio wakuwapa tip,Jifunze kutoa tip mkuu.
Hakuna aliyesema hapa kwamba wahudumu wanaona Pombe ni dhambi, ila wanaona ni kitu kisicho na faida na wala siyo mahitaji ya lazima kwa kwa mwanadamu.Sasa how come wao wanaona pombe yangu dhambi hela zangu wanazitaka
Wapuuzi sana hawa wanahisi kila mtu mlevi kumbe wengine wanywajisiyo kila anayetumia pombe anaitwa mlevi, wengine ni wanywaji tu