KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Dady Joh

Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
6
Reaction score
8
Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,

Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi, kwa siku wahudumu wanaondoka na kiasi kikubwa sana cha pesa maana watu wanavuka wengi sana kuanzia asubuhi hadi usiku.

Kero hii ifike kwa Mbunge wa Misungwi pamoja na Waziri mwenye dhamana hiyo tafadhali.
 
Vipi rushwa kupita darajani ilishadhibitiwa? Au ni mwendo ule ule Kila mtu kula Kwa kamba yake?

Kwanini watu wasipite bure darajani kulikojengwa kwa kodi za wananchi KERO zisizokuwa na maana kama hizi zikafikia mwisho?
 
I can feel your pain..... Poleni sana
 
Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,

Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi, kwa siku wahudumu wanaondoka na kiasi kikubwa sana cha pesa maana watu wanavuka wengi sana kuanzia asubuhi hadi usiku.

Kero hii ifike kwa Mbunge wa Misungwi pamoja na Waziri mwenye dhamana hiyo tafadhali.
Shuhudia sasa jengo lenyewe la abiria lilivyo na miundombinu chakavu!... Vyooni ndio kabisa usiombe kitu kigumu kikubane ukiwa pale.... Hakuingiliki, ni kuchafu balaa!!
Sishangai kabisa ineo lile kuzungukwa na magugu maji....Usafi wa mazingira ni kipengere.
 
Vipi rushwa kupita darajani ilishadhibitiwa? Au ni mwendo ule ule Kila mtu kula Kwa kama yake?

Kwanini watu wasipite bure darajani kulikojengwa kwa kodi za wananchi KERO zisizokuwa na maana kama hizi zikafikia mwisho?
Bado watu wanapita darajani mkuu
 
kisa 100 ndo uje kutuandikia uzi hapa matumizi mabaya ya JF. si watembee na chenchi kama wanamind 100
Mkuu nadhani utakuwa maeneo ya mjini,vijijini huko mia kubwa sana,usiichukulie poa 😀......

Then,ni rahisi tu wanaweza kuwa wanapata chenji toka Benki kuu ili kuwapa wananchi chenji,maana kama kwa siku wanapiga watu 500,ndani mwezi anakuwa na hela nyingi
 
Kwa siku wanavuka watu 5,000, unadhani wanaondoka na kiasi gani mkuu?!
 
Haipo shaka kuna vigogo mnyororo wa vigogo wazito wanufaika na hasa darajani ambako hulamba hadi 10,000/- kwa gari kunakoweza pita magari zaidi ya 1,000 kwa siku.
 
Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,

Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi, kwa siku wahudumu wanaondoka na kiasi kikubwa sana cha pesa maana watu wanavuka wengi sana kuanzia asubuhi hadi usiku.

Kero hii ifike kwa Mbunge wa Misungwi pamoja na Waziri mwenye dhamana hiyo tafadhali.
RIP JPM hao wahuni wangekuwa jera Kwa sasa
 
Back
Top Bottom