Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,
Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi, kwa siku wahudumu wanaondoka na kiasi kikubwa sana cha pesa maana watu wanavuka wengi sana kuanzia asubuhi hadi usiku.
Kero hii ifike kwa Mbunge wa Misungwi pamoja na Waziri mwenye dhamana hiyo tafadhali.
Shuhudia sasa jengo lenyewe la abiria lilivyo na miundombinu chakavu!... Vyooni ndio kabisa usiombe kitu kigumu kikubane ukiwa pale.... Hakuingiliki, ni kuchafu balaa!!Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,
Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi, kwa siku wahudumu wanaondoka na kiasi kikubwa sana cha pesa maana watu wanavuka wengi sana kuanzia asubuhi hadi usiku.
Kero hii ifike kwa Mbunge wa Misungwi pamoja na Waziri mwenye dhamana hiyo tafadhali.
Bado watu wanapita darajani mkuuVipi rushwa kupita darajani ilishadhibitiwa? Au ni mwendo ule ule Kila mtu kula Kwa kama yake?
Kwanini watu wasipite bure darajani kulikojengwa kwa kodi za wananchi KERO zisizokuwa na maana kama hizi zikafikia mwisho?
Bado watu wanapita darajani mkuu
Mkuu nadhani utakuwa maeneo ya mjini,vijijini huko mia kubwa sana,usiichukulie poa 😀......kisa 100 ndo uje kutuandikia uzi hapa matumizi mabaya ya JF. si watembee na chenchi kama wanamind 100
Kwa siku wanavuka watu 5,000, unadhani wanaondoka na kiasi gani mkuu?!
RIP JPM hao wahuni wangekuwa jera Kwa sasaKero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi,