Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma.

Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri

The same kwangu pia maana niliketi more than 5 minutes wala sioni mhudumu, akaja badae sana tena kwa mwendo anaoutaka yeye.

Wakuu kama unamiliki biashara hakikisha customer care nzuri ni endelevu.

Tuache tabia kwamba ukishapata loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu.

Always remember to add value to your product and service.

Shishi ajifunze kwamba Customers always demand for more
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matokeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matikeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Mkuu, nakubaliana na Wewe Ila kinachoongeza thamani zaidi ya loyal customer ni kuwekeza na kuwathamini wateja wako kama assets kwa kuboresha mahusiano nao na kuwapa suluhisho la mahitaji yao Ili kuwafanya wadumu na wakuletee wateja wengine bila ya ww kutumia gharama kujitangaza..!!
 
Wafanyabiashara wengi wanasahau Sana customer care, Wanasahau kilicho wafanya waanzishe biashara na wengine hawajui kwann walianzisha biashara japo wanafanya biashara. Hii inatokana na kupenda showoff aonekane anafanya biashara.
 
Ila wateja wengine wa chakula Wana gubu sn..unaweza kufika mgahawani unakuta wateja wengine wanahudumiwa lkn unalazimisha uhudumiwe wewe,matikeo yake mnakwaruzana na wahudumu

NB :Mimi siyo mhudumu wa shishi food
Shishi akifata ushauri huu biashara itamdodea Yani five minutes wahudumu hawakufati loh, mimi naondoka na sirudi tena hapo
 
Kuwahudumia wabongo first inabidi uwe Fala , second unatakiwa ufanye investment kubwa kwenye customer care , Tanzania customers are like wild animal, hawaangalii stuation wanajiangalia wao tuu
binafsi kuna baadhi ya maduka ukiingia, au hata migahawa, hawakuchangamkii, ni kama wameshiba hela. huwezi kuanza kuwagombeza kwasababu sio kazi yako, ni kazi ya mmiliki wa biashara hiyo, wewe nyanyuka nenda zako sehemu nyingine. kama hakuna namna unaona hakuna sehemu nyingine basi iwabembeleze wakuhudumie kwasababu una shida. ila kuanga kuwagombeza unakosa sababu, unawagombeze kwa sababu gani wakati haujawaajiri na huwalipi mshahara na hujui terms and conditions za employment walizonazo na boss wao? kazi hiyo mwachie boss wao au omba kuonana na boss wao ndio awagombeze, usiingilie kazi za wengine.
 
Yes
 
Kwa muandika uzi hebu lets think Positive kias maybe mdada alikuwa amechoka since Shishi food iko busy sana baada ya kuchelewa ungempa pole ya kazi na kumuuliza mbona amechelewa kukuhudumia na kwa nini watu wanagombana halafu baada ya hapo ndo ukaanzisha uzi unahisi ungekua na content hizihizi🤔
 
binafsi kuna baadhi ya maduka ukiingia, au hata migahawa, hawakuchangamkii, ni kama wameshiba hela. huwezi kuanza kuwagombeza kwasababu sio kazi yako, ni kazi ya mmiliki wa biashara hiyo, wewe nyanyuka nenda zako sehemu nyingine. kama hakuna namna unaona hakuna sehemu nyingine basi iwabembeleze wakuhudumie kwasababu una shida. ila kuanga kuwagombeza unakosa sababu, unawagombeze kwa sababu gani wakati haujawaajiri na huwalipi mshahara na hujui terms and conditions za employment walizonazo na boss wao? kazi hiyo mwachie boss wao au omba kuonana na boss wao ndio awagombeze, usiingilie kazi za wengine.
Lakini Ujue Tunaojiambia Ni Sisi Tulioko Hapa, Maana sisi pia Ni Wateja wa Wawatu Fulani.
 
Si kweli

Sometimes customers need to act decently and with respect to other human beings

Hii tabia ya customer kudhani he can just go totally ape on other human beings sababu tu eti ni customer

Those are customers I usually shoot down and return their stupid money and tell em not to ever cross my establishment

Fvck em!

Na ni funny,the most poorest customers are the most noisy and jerks,toss em up...
Basi haya yakafanyike katika familia zetu pia maana kuna watu biashara/Kazi inathaminiwa kuliko familia.

Customer care ianzie nyumbani na itakuwa rahisi kufikia kazini.
 
Si kweli

Sometimes customers need to act decently and with respect to other human beings

Hii tabia ya customer kudhani he can just go totally ape on other human beings sababu tu eti ni customer

Those are customers I usually shoot down and return their stupid money and tell em not to ever cross my establishment

Fvck em!

Na ni funny,the most poorest customers are the most noisy and jerks,toss em up...
Kama si kweli basi si nitaondoka kwenda kwa seller ambae ananipigia magoti na kuniabudi kisha wewe biashara yako inakufa?
 
Si kweli

Sometimes customers need to act decently and with respect to other human beings

Hii tabia ya customer kudhani he can just go totally ape on other human beings sababu tu eti ni customer

Those are customers I usually shoot down and return their stupid money and tell em not to ever cross my establishment

Fvck em!

Na ni funny,the most poorest customers are the most noisy and jerks,toss em up...
Ts obvious depending on the kind of customers.. we wabongo huwajui vizuri
 
Una akili za hovyo mteja hata mmoja ni wa muhimu ka una biashara utakuwa unatafta mchawi kumbe umejiroga mwenyewe
True, adding Value u cannot treat customers like a transaction,they give u money,u give them a product or service. Instead,develop a story explaining ur brand’s principles and values that draws in your customer’s interest.
 
Back
Top Bottom