Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Good communication is the key element of a good customer care. Mfano ukisubiri dakika tano bila mhudumu kukuongelesha, anapofika na kukupa pole kwa kusubiri na sababu ya kuchelewa kwake. Hai hujui hata dakika mbili kufanya haya.Hakuna kitu kinaua biashara haraka sana kama customer care mbovu.