kuna kitu kimoja unashindwa kuelewa, kwamba huna avenue kuingilia biashara ya mwenzako na kuishupalia as if ni ya kwako, labda kama hauan kazi ya kufanya. pili, allegations zinazoletwa hapa jf nyingine ni za washindani wa biashara, mtu anaibuka tu from n o where anasema biashara yako wewe mfano wafanyakazi wao hawana good customer care, no evidence, kwasababu tu amesema na kila mtu anaweza kusema chochote vingine kwa maslahi yake, is it really fair kupoteza muda kujadili biashara ya mtu?
au labda thread ingebadilishwa isiwe ya kunyooshea kidole mtu, hapo tungejadili kwa mizania bora.
kuhusu customer care Tanzania, inajulikana, watanzania wengi customer care yao sio nzuri na hii inatokana na elimu ndogo ya biashara, wengiw anaafanya biashara wakiamini ushirikina etc hivyo wanajua hata usipowaungisha wao watapata pesa tu. ulishawahi kwenda duka la wakinga, wengi hawakubembelezi, lakini nenda duka la mchagga, atakuita boss hadi unaondoka dukani kwake.
wewe kama mtu mwenye majukumu unafanyaje ukukutana na watu wa aina hii? kama huna kazi ya kufanya (busy body) utapoteza muda kurumbana nao, hiyo haikusaidii, ila kama una mambo mengi iya kufanya, ondoka nenda duka lingine wanalohudumia vizuri kwasababu haimaanishi kwamba watu wote eneo hilo watakuwa wa aina hiyo. achana nao ili wajifunze kwamba customer care nzuri inawafanya wauze sana. shida ya mtu kama wewe ni kushupalia vitu visivyo vyako, hamna kazi za kufanya, mtu hajakuhudumia vizuri achana naye, nenda kwa mwingine. kwa hiyo kwasababu unataka kuprove theory zako za biashara umesoma kwa kukariri huko vyuoni ndio unamshupalia, basi mpeleke shule kabisa kama unataka kuondoa tatizo hilo.