cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Sio kwa shishi tu bongo customer care zero na mimi sishangai mteja wauliza kitu wao hujifanya busy na kukuangalia kwa dharau loh. Mbona maeneo ya mahotel makubwa wahudumu huwa na huduma nzuri hadi tips wamupatia.Mkuu umewahi kwenda kupata huduma mgahawani kwake?
Tatizo watu wanaenda kwenye hii migahawa mikubwa wakitegemea maajabu eti kisa Tu ni mgahawa Fulani Una jina so huduma zake zitakuwa ni extraordinary
Ingia ndani,vuta kiti kaa,wahudumu watakuja kukuhudumia ktk utaratibu unaofaa,Kula kisha sepa
Usitetee watoa huduma wabovu