Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

Tatizo mnawala wale wahusika… na jinsi walivyo na exposure ndogo, wanajiona wameshakua wake zenu

inaharibu sana aisee
 
Kabisaaaa!! Anatumia hisia zake binafsi na sio uhalisia.
Na sidhani kama ni mfanyabiashara. Na kama ni mfanyabiashara basi atakuwa na wakati mgumu sana kwenye biashara zake. Mteja ndio kila kitu
 
wewe si mteja tu pale, sio mmiliki, unahangaika nini na wahudumu wasio kujali? nenda kaungishe wengine, kwani biashara yako ile?
Tena jf inavosoma na wengi humu shishi atapoteza wateja, mswahili akifanya biashara hudhani wateja yeye huwapa hela bure. Jifunzeni kwa wachagga, wapemba na wasomali kwenye biashara lazima urudi kwake kwa huduma nzuri.
 
What I know wamestaarabika zaidi ya everybody else!
Hivi neno ustaarabu unalielewa vipi ?

Unazingatia nini kuiweka Marekani kuwa imestaarabika kuzidi wengine ?

Naona ungetuambia maana ya ustaarabu kwanza ingekuwa jambo jema sana.
 
Ah, ok kumbe Bro wewe Mmaranguu oukey sishangai tena Meku.
 
Punguza Stress
 
Customer care bongo ni challenge sana ni vile watu tunaishi kwa mazoea sana na ipo karibia kwenye huduma nyingi tu. Ila kitu muhim kama unaona kuna changamoto kwa upande wa huduma zinazotolewa sehem A ni better to have other alternatives sehem nyingine ndio mana mm binafsi huwa napenda kula sehemu tofauti tofauti inasaidia kujua wapi unakuwa comfortable na services zao.
 
Ndiyo maana unabisha ujinga. Unajua kwamba walevi,watembea uchi,wacheza kamari,wala riba wote hao si wastaarabu.

Katika uso huu wa dunia hakuna nchi kunafanyika maovu kuzidi Marekani. Ajabu ikawa ni nchi iliyo staarabika.

Ulitakiwa usome ujue asili ya neno ustaarabu kisha uje kutetea hoja yako.

Hakuna ustaarabu unao patikana kwa kampeni au kura ya wanachama na makubaliano ya wajinga fulani kama wewe,halafu unalazimisha uongo uwe ukweli.
 
Hapa nyumbani Tanzania huduma ni mbovu sana.

Baadhi ya wahudumu Wana attitude za ajabu sana.

Ni tatizo kubwa sana tulilonalo.
 
Inawezekana kabisa shishi mwenyewe hapa jf hayupo,hivyo ujumbe hawezi kuu pata.
 
Shishi Michuzi
 
Kaa mezani relax sasa unalalamika nn
 
Mtazamo wa hovyo sana huu. Kama kuna biashara unafanya namna hii, basi itakuwa inaelekea kufa. Makampuni yanatumia gharama kubwa ili kutangaza biashara zao na kuvutia wateja angalau hata mmoja. Wanajua nguvu ya mteja mmoja ndiyo maana wanatumia mamilioni kwa ajili ya matangazo ya biashara. Daima mteja atabaki kuwa mfalme na sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…