Wahudumu wamama wa kwenye migahawa wanakera sana wanapohudumia huku wakijikuna mwilini

Mimi siku hiz nilishaachana na hiz habar za kula migahawani.
Na nimekuja kugundua siku hiz nimekua mchovu kabisa kwenye masuala ya kupika.
Wife hayupo, na madogo nimewapeleka likizo week sasa, home nashindia maziwa fresh tu, nikifanya zaid nitachemsha mayai ama sivyo nitaongeza na mkate Basi ,asubuh mchana jion, siku inapita.week sasa inakata ni mwendo huo.

Kula magengeni no way. Siku hiz siwez kabisaa
 
unaendaga kunya kweli kwa kula mikate mda wote mkuu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€
 
Ushaambiwa kwenye mfereji. Sasa sijui jamaa alijuaje hapa ni mfereji umekunwa wakat mtu kavaa nguo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kama ni kwenye mfereji basi atakua anasafisha mfereji vizuri ili kuweza kupitisha maji(jasho) yanayotoka mgongoni kwasababu ya joto..
 
Angalia na sehemu za kula. Kuna sehemu chakula kuanzia muandaaji na mazingira yake ya jiko ni safi hata unapokula chakula una amani. Ogopa sana hawa wapishi wa kiswali anapika huku anaongea mdomoni hajavaa barakoa. Mikononi hana gloves, eneo lina inzi kama kiwanda cha utumbo, harufu, taka zipo kando hapo, yaani full uchafu babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ