Rais wao Haram mwenyewe ni mpumbavu unategemea wao watakuwa na akili?Mnaufungia mtandao, kisha mnajipendekeza kuutumia. Hii ni maajabu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Unawatakia kila la heri kwenye kupigwa mkuyenge au kwenye nini?
Na kweli wamekuja kuwanadi kama PIMP akinadi watu wake.Kweli mmeishiwa, hii nayo ni habari ya kuleta humu?
Mnaacha kuboresha miundombinu ya railway na mabehewa mnakuja kuwanadi wahudumu ili iweje? Mmeambiwa ni kimboka hapa??
kwa nini baadhi ya watanzania mnakosa nidhamu kwa mamlaka