Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

Mnaufungia mtandao, kisha mnajipendekeza kuutumia. Hii ni maajabuπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Mnaufungia mtandao, kisha mnajipendekeza kuutumia. Hii ni maajabuπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Rais wao Haram mwenyewe ni mpumbavu unategemea wao watakuwa na akili?
 
Kweli mmeishiwa, hii nayo ni habari ya kuleta humu?

Mnaacha kuboresha miundombinu ya railway na mabehewa mnakuja kuwanadi wahudumu ili iweje? Mmeambiwa ni kimboka hapa??
Na kweli wamekuja kuwanadi kama PIMP akinadi watu wake.
 
Nyie TRC nanyi mmeingia kwa VPN pia ?

Sasa serikal mnaifungia JF wakat taarifa zenu mnazituma humu HAMUONI AIBU?

TRC ongern na TCRA Waifungue JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…